Habari wakuu.
Kijana wenu hapa nina shida ya gari ya mkataba au hesabu .nina uzoefu na Uber na Bolt. Pia, kama kuna mtu anajua makampuni yanayo toa magari kwa mikopo tafadhali sana naomba...
Hello I'm look for a job and specialized in AUTOELECTRICAL and DIAGNOSIS machine technician and for I'm based on tour guide cars for volunteers(land cruise and land rover)but for other job for any...
Habari za humu wanajamii,hapa nipo njia panda kidogo kuhusu suala hili la kazi.
Nimuhitimu wa kozi ya uhandisi wa umeme katika chuo kimoja hapa nchini,mnamo mwaka 2018 nilimaliza degree yangu...
Habari wakuu,
Nilisikia Japan wanahitaji watu wenyeujuzi LAKINI mfumo umekaaje sijajua kwa anayefahamu. Nahitaji muongozo na Mimi nikapambane Mimi ni welder/fitter.
Habari wanajf,
Nahitaji mtaalamu mwenye uelewa na uwezo wa kuandika business proposal kwenda Kwenye kampuni au taasisi binafsi au serikali, Anicheki kuna kazi tufanye kwa makubaliano.
Kwa...
Habar wakuu, kama title yangu inavyo jieleza hapo juu mm ni kijana wa kitanzania, jinsia (me) nimehitimu diploma ya ubora wa maji chuo cha maji ubungo-dar es salam mwaka 2019. Nilikuwa natafuta...
Habar, Ninaishi Mwanza pia Niko teyari Kufanya Kazi maeneo yeyote Yale. Nina shahada ya Uhasibu katika chuo cha Usimamizi Wa Fedha(IFM), Nina uzoefu wa miaka 2(mwili)) katika fani hii ya Uhasibu...
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimerudi tena kwenu kwani mwezi may tar24 nilipost hitajio langu kuomba msaada kwa yeyote...
Nauliza kazi kwenye any private school O level au A level. Nina uwezo mkubwa wa kufundisha biology japo nahold degree nyingine. Nafanya kazi eneo lolote na nipo tayari kwa any interview.
Habarini wakuu,
Nilikuwa nahitaji kijana wa kukaa DUKANI (uuzaji)
- Ni duka la jumla lipo maeneo ya Gongo la Mboto
VIGEZO
Awe anajua kusoma, kuandika na kuhesabu (kuanzia kidato cha nne na...
Habari wadau,
Nimeleta fursa kwa vijana.
Anahitajika msichana mrembo, msafi kwaajili ya kazi ya kuuza matunda na juice
Mkoa anaoitajika ni Arusha Mshahara sh 80000 chakula na nauli utapewa...
Habari wana Jukwaa, Poleni na majukumu.
Tafadhali naomba kuwasilisha maombi yangu kwa yoyote mwenye uwezo wa kunipa ajira yoyote halali au hata connection ya kupata ajira popote nchini...
Wakuu kwema wale walioingia interview leo alfajiri UDOM ya Customs Officer.
Hiyo paper imekaaje wakuu? Ajira tutapata wapi kama maswali na muda ndio huo.
Dah sijui yaani manake navurugwa nauli...
Wakuu! nipo jiji la Makalla ,naeza fanya kazi yoyote inayohitaji IDEA(s) ili kazi ifanyike
Nina ka-bachelor ka Philosophy with education (specialized in Philosophy and Linguistics)
Tuinuane kwa...
Elimu Tech Foundation (ETF) ni shirika jipya lisilo la kiserikali linalojishughulisha na maendeleo ya tehama kwenye elimu hususani kwenye shule za serikali kwa kuhakikisha miundombinu ya tehama...
Habari za leo JF
HERI YA X-MASS NA MWAKA MPYA
Baada ya kuichunguza biashara ya genge la chips na mgahawa nimeona ni bora niwekeze pia hela kidogo kwenye hii biashara ila umekuwa mtihani kupata...
Wakuu Kama kichwa Cha habari kinavyo someka natafuta msichana wa kusaidia kazi, atakaa na watoto wawili miaka 6 na 4. Eneo ni Arusha mjini ningependa anaetokea maeneo ya karibu Kama vile Manyara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.