Wana jamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano bila shaka kazi zinaendelea!
Juzi kati nimefanya interview na hawa jamaa wa Bureau Veritas kwa sasa nasubiri majibu ya hiyo interview. Ila...
Habariii wana familia.......mimi ni kijana nilie maliza masomo ya chuo kikuu cha dodoma Bachelor of information systems mwaka huu mwezi wa 8 wakati huu nikiwa nasubiria matokeo ya muhula wa mwisho...
POSITION: Hospitality Assistant
10-Aug-2021
Logistics
location: DAR ES SALAAM-MAFUTA RD(TZA)
Job Description
HSEQ:
Application of Safety Managements Systems
Quality Control of products to be...
UTEKELEZAJI WA MCHAKATO WA AJIRA SERIKALINI NA CHANGAMOTO ZA BAADHI YA WAOMBAJI KAZI
Mtakumbuka Serikali katika mwaka wa fedha uliomalizika 2016/2017 iliahidi kutoa Ajira serikalini zaidi ya...
Unajua kuna kipindi inafika sisi kama vijana tuwe tunaamka kiukweli, Ndio penye nia pana njia, washindi hawakati tamaa, bidii huzaa matunda, n.k lakini haya mambo yana mazingira yake.
Nina...
Assalam alaykum, bwana Yesu asifiwe
Wakuu ile Kazi niloleta Uzi kuhusu interview yake imetiki. Post yenyewe Ni QA/QC (quality control) kwenye FMCG food industry. Naripoti kesho.
Ushauri mpya...
Habari za leo wanafamilia!
Tuna mgawaha mdogo maeneo ya Chang'ombe maduka mawili Dar, tunahitaj Dada mmoja wa kusaidia kudeliver order na kufata order.
Akiwa anaishi mitaa ya huku au angalau...
Mara nyingi wahanga wa ajira tunapotoka kwenye usaili huwa tunajiuliza maswali mbalimbali kulingana na ulivyojibu maswali kwenye usahili kwamba je utapata hiyo kazi au la.
Inapotokea Interviewer...
Habari ndugu zangu.
Napenda kuwatangazia kuwa km una ndg au jamaa ana ujuzi wa secretarial course au kompyuta kwa ujumla basi natafuta mtu wa Kazi ya stationery. Km yupo Niunganishe nae inbox...
Hellow,
Kumekua na malalamiko mengi sana juu ya ajira kua zimekua ngumu lakini kulalamika kwetu bado hakuleti tija, zaidi ya vyote kila mwaka wanachuo wapya wengine wanazidi kumaliza idadi yao...
Nimefikia hatua hii kwakuwa nimeona mabadiliko makubwa sana tangu kusitishwa kwa ajira na hivi sasa vibali vilipoanza kutolewa na serikali kwa ajili ya kuajiriwa watumishi wapya ndani ya utumishi...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 195
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa aya ya 112(1) ya Katiba ya...
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara Zinazojitegemea, Taasisi za Umma MbalimbalI Serikalini, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa...
TANGAZO LA KUITWA KAZINI
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwataarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali za Chuo Kikuu cha Tiba na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) na...
On behalf of the TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY (TCRA), President’s Office, Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill vacant posts as mentioned...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.