Habari zenu, ninatafuta ajira kwa kuandika online kwa mtu mwenye anafahamu anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji. Naandika kwa lugha ya kiswahili, ni machapisho...
Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena
Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa.
Napatikana...
Mimi ni fundi WELDING mzoefu
Natafuta kazi
NICKSON JOHN NGILIULE
DODOMA 0713515769/0762758973
Email: njohn2139@gmail.com
PERSONAL DETAILS
FULL NAME: NICKSON JOHN NGILIULE
DATE OF BIRTH...
Rejea kichwa cha habari hapo.
Nina swali juu ya level/ grade ambazo veta wanafundisha/ wanatoa
rejea kiambatanisho kifuatacho
FUNDI MCHUNDO DARAJA II (UMEME) - 1 POST
Employer: SHIRIKA LA...
Role and responsibilities
Adhere to NRC policies, tools, handbooks and guidelines
Manage the procurement support function portfolio according to plan of action
Line Manage a team of staff who...
Wanajamvi kwema? Kama kichwa cha habari kinavojieleza naulizia kama hao watu wameshaanza kuita kwenye usahili katika zile nafasi 100 walizotangaza za Afisa mikopo.
Position Overview:
The Literacy Facilitator is responsible for supporting and coaching teachers, librarians, and principals to adopt new ways of working with children to increase their literacy...
Kama Mada hapo juu inavyojieleza, anahitajika mdada wa kazi za ndani, Mahali ni kibaha, nyumba ina mtoto mmoja tu wa miaka Sita.
Kwa yeyote mwenye connection tusaidiane.
TANZANIA RED CROSS SOCIETY
The Tanzania Red Cross Society (TRCS) is a voluntary humanitarian organization established as an independent National Society (NS) by the Act of Parliament No. 71 of...
Maendeleo Bank PLC is inviting applications from qualified and experienced candidates to fill vacant positions in its staff complements at its Head Office. The Bank seeks to recruit highly...
Introduction
Chartered in 1983, Aga Khan University (AKU) is a private, autonomous and self-governing international university, with 13 teaching sites in 6 countries over three continents. An...
Habarini ndugu wanaJF,
Mimi ni kijana (Me) nina miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana (Bachelor of Education in Arts, History & Kiswahili), natafuta kazi yoyote ndugu zangu nimehangaika kusambaza...
Huu uzi utumike kama hamasa kwa wale wanaohitaji ongezeko la mishahara,Unaweza ukaweka taarifa zako za mshahara kwa kuficha baadhi ya vitu mfano majina yako, Taasisi yako au Slip namba.
Hamasa ni...
CRDB BANK juzijuzi mmeita watu kwenye usaili kwenye nafasi ya sales executive ila utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usail wa kazi ni wakibaguzi kwa sababu mnatumia njia ya kupiga simu peke...
Salaam wakuu,
Kwa yeyete mwenye gari na anahitaji dereva wakumsaidia kumpeleka safari zake ndogo ndogo za hapa na pale mjini Dar es salaam,anichek tu,malipo tutaelewana ila trust me atakuwa...
Mwana jukwaa kuwa huru kutupa baadhi ya changamoto ulizopitia wakati unatafuta ajira, pengine labda itakua fundisho nasi wengine tujue namna ya kuruka viunzi hivyo. Karibu
Watu wanaielewa dunia kwa kusoma, kusafiri, kuchangamana na jamii tofauti nk. Ukipata bahati ya kufanya hata kazi za ndani kwa watu wa aina hii unapata ahueni.
Kazi za ndani kwa houseboy au...
Mimi ni kijana (wakiume) ambaye Nina diploma ya uhandisi migodi (Mining engineering) . Nina uzoefu katika uchimbaji na shughuli hizo kwa miaka kadhaa. Kazi ambazo naweza kuzitenda /kushauri site...
Habari wana JF I hope mpo poa,
Mimi mi muhitimu wa Diploma ya Account mwaka jana nilijaribu kuomba mkopo nienndelee na Bachelor ila nilikosa. Naomba kama mwenye kunisaidia nipate sehemu hata ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.