Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Tangazo la ajira Anahitajika msimamizi wa bar Vigezo Awe mkazi wa Dar Elimu form four n above Jinsia wanawake watapewa kipaumbele Awe na background ya sales Mkweli na mwaminifu Majukumu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
JOB OPPORTUNITIES Click on each below to read more and apply: Bofya kila moja hapo chini kusoma na kuapply: 1. Mechanical Trainer (Fixed Plant)- 1 POST 2. Instrumentation Technician -...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wadau Anahitajika Accountant and Client Officer(1 Post) Sifa na vigezo vimeambatanishwa kwenye attachment ya post hii Ahsante
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Habari gani ndugu wanajamvi wezangu. Ngoja niende kwenye hoja yangu moja kwa moja. Kuna ajira zilitangazwa na wizara na Afya, watu waliomba ikiwemo mimi mwenyewe. Yapata mwezi mmoja sasa tangu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Dear All, This is for your information and action. Regards.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Muda wowote kuanzia sasa serikali kupitia kwa katibu mkuu. OR-TAMISEMI itatangaza orodha ya waombaji waliofanikiwa kupata ajira za ualimu na afya 2021. ========= UPDATES=======
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Ndugu zangu kuna jambo limenishangaza au labda mimi ndiyo sijui, Nilikuwa natafuta goverment primary boarding schools za hapa nchini kwetu kwa kweli nimezurula sana kwenye mtandao lakini...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari Wanabodi. Pharmaceutical Assistance na Pharmaceutical Dispenser wenye uzoefu wa Kazi ya kutoa huduma katika Duka la Dawa /Pharmacy wanahitajika kufanya kazi Mtwara na Singida Karibuni Sana
1 Reactions
5 Replies
987 Views
Natafuta kazi yoyote halali. Elimu yangu ni kidato cha nne pia nimehitimu mafunzo ya udereva veta ila sina uzoefu sana sababu sijawahi fanya kazi ya udereva popote ila nikipewa kazi nafanya properly.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kama kuna mtu ana mrejesho wowote kwa zile kazi za EAC zilitangazwa juzi. Nakumbuka mwaka jana walitangaza, nikaomba nikaona kimya Mwaka huu wametangaza tena nafasi zilezile ila bado...
2 Reactions
2 Replies
913 Views
Habari: Anatafutwa mdada wa kupika Na kuhudumia mgahawa. Location Kimara Mwisho Darajani. Mshahara 4000
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Elimu yangu ni form six Jinsia ni ke Nimejitokezak kwenu kutafuta kazi yoyote halali Kufundisha(naweza kufundisha masomo yote except physics) kwa O-level Kufundisha primary...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu poleni na majukumu ya kutafuta rafiki, Natafuta kijana mwenye uzoefu wa kutengeneza juisi ya miwa. Location: mbagala Mshahara: makubaliano Jinsia: jinsia yoyote NB: awe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
POST DESCRIPTION I. POSITION INFORMATION Vacancy Number IOM/DAR/012/2021 Position title Operations Assistant (Field Support)-2 Positions Position grade G-4 Duty station Dar es...
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Hello wana, Jamvi niliomba nafasi kwa hawa jamaa wa Car Tracking since last week na nimefanya interview nao kadhaa ikiwemo ya Oral through WhatsApp calls ila leo wamenitumia email kwamba...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa, Mimi ni kijana mwanaume 26 years ELIMU YANGU: FORM 6 MS OFFICE COMPUTER SKILLS NAONGEA KISWAHILI NA...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mimi ni dereva na natamani niendeshe Uber hasa ya mkataba. Nimetafuta sana kazi za kuajiliwa sijafanikiwa na cjakata tamaa ila nimeona nijaribu na hili. Mwnye msaada wakuu.
0 Reactions
0 Replies
597 Views
Wamekuwa vinara wakutangaza nafasi za kazi na sijawahi ona mtu ameitwa kazini je kuna mtu amewahi pata kazi kwa hawa jamaa?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Mimi ni jinsia Ke, umri miaka 28, Elimu shahada, sekta ya afya, fani ya Uuguzi, bado sijapata leseni hivyo imekuwa ngumu kwangu kupata nafasi kwenye hospitali kwa kujishkisha...
2 Reactions
0 Replies
716 Views
Hoteli ya Lahe ya Mwanza inatarajia kuajiri wapishi 2 wenye sifa zifuatazo: 1. Awe na cheti cha menejimenti ya hoteli kutoka chuo kinachotbulika 2.Awe ana elimu ya sekondari 3.Awe na uzoefu usio...
1 Reactions
1 Replies
853 Views
Back
Top Bottom