Habari,
Kama mada ilivyotajwa hapo juu, mimi ni mtaalamu wa elimu ya awali ambaye bado nipo masomoni nikisoma Bachelor Degree. Nimeona ni vizuri kabla sijamaliza kusoma nitafute shule ili niwe...
Habarini za majukumu! Mm ni msichana nmemaliza Chuo mwaka Jana ktk fani ya business ila major yangu ni accounting ( bachelor) natafuta kazi au hata nafasi ya kujitolea ili nipate uzoefu zaidi ,pia...
Naitwa costantine malando nina umri wa miaka 26 natafta kazi ya kujitolea ktk kampuni lolote hapa tanzania na nje ya nchi.
Nina degree ya kwanza ktk usimamiz wa biashara ktk kitengo cha uhasibu...
Mimi ni kijana (ME) nina miaka 22 mwanafunzi wa chuo cha mzumbe ni nasoma BACHELOR OF LOCAL GOVERNMENT MANAGEMENT mwaka wa kwanza . Kwa sasa nipo mkoani rukwa natafuta kazi ya kujitolea katika...
Habari wakuu!
Mimi ni kijana mwenye diploma in Information Technology (IT), natafuta ajira iliyo halali ama mahali popote dar es salaam ambapo naweza kufanya kazi kwa kujitolea ili niweze kupata...
1. JOB TITLE: OFFICE ATTENDANT (1 position- Pemba)
Major roles and responsibilities
● Cleaning and maintain the sanitary of the premises which includes Offices and College along with...
Wakuu habari ya saivi?
Leo nimekaa nikapata hili wazo. Asilimia 89% ya watu wanatafuta ajira humu ndani ni watu ambao wana proffesional zao nzuri. Mfano : Humu kuna Engineers, Technicians na...
4.0.1. JOB TITLE: FLIGHT OPERATIONS DEVELOPMENTAL INSPECTOR (SMALL AIRCRAFT) 2 POSTS - DAR ES SALAAM (RE – ADVERTISED)
4.0.2 JOB PURPOSE
To assist in ensuring compliance with the regulatory...
JOB TITLE: LIQUORER GRADE II-1 POST
8.1.1 DUTIES & RESPONSIBILITIES
i. Carries out coffee roasting outturns and pre-auction cupping preparations;
ii. Safe keeps and updates liquoring files of...
Habarini ndugu wana jf,
Niko hapa nina shida natafuta kazi yeyote usafi, kufua , upishi, kazi ya duka aina yeyote Nina uzoefu nazo, elimu yangu kidato cha nne.
Napatikana Moshi/Mwanga nisaidieni.
JOB TITLE: ASSISTANT QUALITY ASSURANCE OFFICER III (1 POST) – RE-ADVERTISED
3.0.2. DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To conduct inspection and supportive supervisions of health facilities;
ii. To...
#1
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote..
Mimi ni muhangaikaji mwezenu, niko katika harakati za kutafuta riziki ili mkono uende kinywani...
Kama tujuavyo vijana wengi tupo ktk zahama kubwa ya ukosefu...
Wakuu nawasalimu kwa heshima zote..
Mimi ni muhangaikaji mwezenu, niko katika harakati za kutafuta riziki ili mkono uende kinywani...
Kama tujuavyo vijana wengi tupo ktk zahama kubwa ya ukosefu wa...
Habarini wanajamiiforum mbele yenu ni kijana wa miaka 24 ninatafuta kazi kwa Sasa nipo dar. Elimu yangu ni NTA level 4 in mechanical engineering na Advanced certificate of secondary school in...
Habari wapendwa JF users,
Mimi ni mwanamke miaka 31. Nina degree ya computer science na Nina experience ya Kazi kama system administrator, Customer care and Technical support.
Kwa mwenye...
Habari wapendwa,
Nina ndugu yangu alipata ajali na familia yae! Kwa ufupi tu anahitaji mtu wa kumsaidia mtoto wake wa umri wa miaka nane, amevunjika na hajitambui anahitaji mtu wa kumhudumia wa...
Habari wanajamvi naulizia zile nafasi 300 zilizotangazwa na NBS wameshaita watu kwaajili ya usahili? Maana deadline ilikuwa 14/3/2021, au ndio hadi maombolezo yaishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.