Warehouse Operator
Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability. We hold world-leading...
Naitwa Sabrina
Nina miaka 22,
Naishi Dar, Ukonga.
Elimu yangu kidato cha 4
Naongea English na Kiswahili,
Natafuta kazi ya duka la nguo, vipodozi, supermarket au usafi wa maofisini.
Imepita wiki sasa baada ya Mradi wa Mwalimu Nyerere kufunga pazia la kupokea maombi kwa ajili ya maombi ya zile ajira 1500+ Pale kiloka kwenye kampuni za Arab Contactors na Elsewedy
Je, kuna mtu...
Habari zenu wana JF yote,
Mimi ni kijana mwenye miaka 22 ninaishi Arusha elimu yangu nimeishia Darasa 7 nimetoka kijijini toka 2014 nilikuwa nafanya kazi kwa wahindi kusambaza bidhaa mbalimbali...
Tunaitaji muhasibu msaidizi awe na sifa zifuatazo.
Elimu kuanzia diploma.
Jinsia ya Kiume.
Ajuwe kutumia Tally itakuwa bora zaidi. Kama hajui atafundishwa.
Ajuwe Kiswahili na Kingereza ( kusoma...
Dear all Hiring Managers,
Please stop asking 25-year-olds to have 15 years of industry work experience for entry-level jobs. Instead ask them if they will work hard and care about your company...
JOB OPPORTUNITIES
Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
1. Food And Security Nutrition Adviser (Kagera)
2. Employability And Entrepreneurship Adviser (Shinyanga)
3. Employability...
JOB OPPORTUNITIES
CHILD SAFEGUARDING:
Level 3: √ the post holder will have contact with children and/or young people either frequently (e.g. once a week or more) or intensively (e.g. four days...
Mimi ni kijana wa 25 mkazi wa mbeya mjini .nimemaliza chuo kwa levels ya degree nimesoma ICT katika iyo field niko vizuri kwenye database ususani katika oracle na mysql katika kufanya designing...
Wasalam,
Napenda nichukue nafasi hii kuwakaribisha katika kushare skills zangu kwa jamii yangu kupitia kuwasaidia watu wenye vikundi miskiti na makanisa mbalimbali kujipatia huduma ya...
Habari,
Nahitaji mtu anaejua Kutumia Social media vizuri mwenye uelewa mzuri...wa namna ya Kutumia mitandao ya jamii.
Hii sio Ajira ya kudumu like nahitaji kuelekezwa kwa Muda mufupi kwa ajili...
Habari za wakati huu wakuu.
Mimi ni kijana muhitimu wa Shahada ya kwanza ya Uhandisi Mitambo(Mechanical Engineering) mwaka 2019 kutoka Chuo cha Taifa cha Usafirishaji(NIT). Naishi Mbagala, Dar es...
Habari wadau!
Hili swala la ukomo wa umri katika suala la ajira binafsi naona litakuja kuwagawa watu wengi hususa kizazi hiki cha sasa.
Ajira zinatolewa unaambiwa applicant must not exceed 30yrs...
JOB OPPORTUNITIES
Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply:
2. Medical Doctor- (3 Posts)
CCBRT is an equal opportunities employer and encourages people with disabilities to apply...
Hello, natumai wote ni wazima.
Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.