Hellow wadau poleni na majukumu ya kutafuta tonge..
Langu ni moja tu nimekuja nalo hapa mimi ni mtangazaji wa vipindi vya michezo ila nipo kwenye ngazi ya cheti na kutokanana na ugumu wa maisha...
Habari zenu waungwana,
Dada wa kazi anahitajika awe anapatikana Dar es Salaam kwa sasa. Awe mjuzi hasa wa mapishi. Ni anakaa na mtu mmoja pekee mzee wa makamo. Awe msafi na mstaarabu. Mhitaji ni...
Salamu kwenu wana Jf. Vijana wengi kwasasa tunafaa kujiajiri na kufanya kazi bila kubagua. Dhana hii isitumike kama kigezo cha kutokuomba au kutuma maombi ya kazi katika mashirika binafsi na/au...
Habari za Jioni ndugu zangu.
Natumain wote mu wazima wa Afya, naomba nijikite katika Mada moja kwa moja kama nlivyo ambatanisha apo juu.
UTANGULIZI
Kwa miaka takribani 10 sasa tumekua na...
Mara nyingi huwa najiuliza kwanini vijana wengi wa Kitanzania tunapenda sana kuajiliwa? Je. kwa kuwa hatuna ndoto ambazo tunataka kuziishi? Au kwa kuwa tunajua ili ufanikiwe inatakiwa uwe ume...
TANGAZO LA KAZI TAREHE 17, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV.
Huduma...
Kama ilivotajwa hapo,Mimi ni kijana wa Miaka 23 ninatafuta kazi au interniship .Nina ujuzi katika maswala ya Graphic design, Photography,Video shooting and editing, Screenwriting.
Nimehitimu...
Habari za muda huu;
Kama kuna mtu ana CPA (PP) anahitajika
Pia Kama kuna mtu ni expert wa kutengeneza Transfer Pricing Policies anahitajika haraka zaidi.
Please contact me via: hu_ba@ymail.com...
Habari wadau!
Amini usiamini kuna watu leo wanatimiza miaka kumi tangu wagraduate na hawajai kuajiriwa najua wanapitia changamoto nyingi za maisha kwa hiyo ww uliyehitimu miaka miwili au mitatu...
Wadau mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya ualimu BAED mwaka 2016 nimejaribu kutafuta kazi kwa udi na uvumba lakini mambo bado ya moto.
Nimepost uzi huu ili muweze kunisaidia kujua baadhi ya...
Habari
Kwa jina naitwa Khadija ni muajiriwa katika kampuni iitwayo FEKAS GENERAL SUPPLY, ambayo inajihusisha na kusambaza bidhaa mbalimbali kama vile vifaa vya Shule na ofisini,vifaa vya...
Wakuu salama..!!
Wife anaomba kazi kwenye system ya Public Service Recruitment Secretariat lakini inamletea error hii
wakati yeye kitambulisho cha NIDA alisha upload taarifa zake. Na akirudi...
Wakuu hiki kitu kinakatisha tamaa na kinatisha sana.
Sijui serikali inaliona hili jambo na ina mipango gani ya haraka itusaide tutoke huku tulipo.
Maana tunapoelekea hili ni bomu linaendelea...
Ndugu yangu, nakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
Habari natumaini wazima.
Wakuu Hali ya maisha ni ngumu mno hali bado tete kila siku bora jana kuliko leo huku...
Wakuu habari za weekend....nmerudi tena kijana wenu mwenye connection nafasi ya civil engineering naomba aniunganishe.Nina uzoefu wa kazi za bara bara nmefanya miradi ya DMDP Dar es salaam na pia...
Habarini
Kuna NGO fulani ilitoa vacancy mwezi uliopita na karibu kila forum ya ajira tangazo lilikuwepo nika apply as usual
Leo nikasema ngoja nipitie kidogo email inbox, bana bana nafungua hio...
Ikiwa ni miezi miwili sasa imeisha tangu serikali itangaze ajira za ualimu, na kuwaelekeza wenye sifa waombe kupitia mfumo wa OTEAS, kumekuwa na taharuki kubwa miongoni mwa waombaji kutokana na...
Kampuni ya Ukandarasi iliyopo mbeya inahitaji.
-Full Technician Certificate/Ordinary Diploma in Civil Engineering.
-Lazima awe registered na Bodi ya Wahandisi yaan ERB
-Ajira ni ya Mkataba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.