Natafuta kijana mwenye uzoefu wa mauzo au hana uzoefu lakini akionyeshwa fursa anaweza kuchakarika kuigeuza bidhaa kuwa fedha. anaweza kuwa na elimu ya kidato cha Nne, Sita, cheti au stashahada...
Habari za jioni ndugu zangu 🤝?(ninyi ni kama ndugu zangu)
Najua kuna wakubwa lakini pia vijana rika langu, itoshe tu kusema itifaki imezingatiwa🙏
Kama kichwa tajwa hapo juu, mm ni kijana miaka...
NAFASI ZA KAZI ZA MUDA KWA WALIMU NA WATAALAM WA TEHAMA ( PART TIME JOBS FOR TEACHERS AND ICT PERSONNELS).
HOBE E-LEARNING
Hobe E-learning ni mradi wa elimu mtandao (Electronic Learning) ambao...
Habari.
Naitwa DAVID BENJAMIN KILAS. Nina umri miaka 25 na ni mkazi wa Mbeya mjini.
Nimehitimu chuo kikuu IFM kilichopo posta Dar es salaam na kutunukiwa degree ya Social Protection and...
Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii.
Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu.
Kifupi Mimi ni mhandinsi...
Excavator operator(30 vacancies) DOHA QATAR, Expires on: march 17, 2013. Agency name:KAN-YA INTERNATIONAL SERVICES CORP. Qualifications:-Gender-male, Age 25-45years old, Education-atleast...
Hakika mambo yanazidi kuwa tough hii mitani tena kwangu imekuwa kama sumu iuayo taratibu as time goes on nakuwa frustrated sana.
Niko Dodoma now mwezi wa tatu sasa baada ya kutoka mbeya kuja...
Habari wana JF
Mimib ni Accounts graduate ambaye nimetafuta ajira(formal) bila mafanikio kwa miaka kadhaa na sioni matumaini yoyote. Hivyo naomba msaada wenu kwa yafuatayo;-
Kama unajua sehemu...
Wakuu habari!
Ninavyeti kama ifuatavyo,cheti cha darasa la saba, cheti ya o'level, cheti cha A'level, cheti cha chuo,na vyet vya dini ambavyo nilifahuru kwenda seminary kwa kupata daraja A...
Habarini wadau, poleni na majukumu ya kila siku ya kutafuta ridhiki.
Mimi ni mwalimu niliyehitimu katika chuo kikuu cha St. John (Dodoma) katika shahada ya ualimu wa masomo ya Chemistry na...
Habari zenu wana JF,
Anahitajika mpishi ambae anajua kupika (mwenye uzoefu na iyo kazi atapewa kipaombele) pamoja na kuwa na uwezo wa kupima sahani za chakula kwa ajili ya mgahawa.
Pia...
LEO KWAMARA YAKWANZA NAOMBA NIWASHIRIKISHE JAMBO LA KI IMANI,
Habari zenu wana jamii? Mungu ni mwema mimi ni mzima kabisa.
Naona vijana wengi mambo yamekua yakienda ndivyo sivyo tulivyotegemea...
Habari,
Mimi nimwalimu niliehitimu katika chuo kikuu cha elimu kishiriki cha Dar es salaam na kutunukiwa shahada ya ualimu katika masomo ya Economics pamoja na Political Science and Public...
JOB TITLE: Key Sales Account Manager
Main purpose of the Role:
To generate new business and ensure that sales targets for Cartrack in Tanzania are met. Managing key accounts, maintaining long...
TANGAZO LA KAZI TAREHE 23, DISEMBA 2020.
BEITO IINTERNATIONAL COMPANY LTD, tunajihusisha na shughuli za usafi na urembo. Ofisi zetu zipo Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni, Mwenge, ITV...
Kama tujuavyo Teknolojia inaturahishia kujifunza Mambo mbali Bila kukaa darasani,
Hivyo Basi kwa yule ambaye atahitaji kujifunza lugha Hii adhimu kwa ajili ya mahitaji yake Binafsi kama vile...
Najua utumishi mpo humu mlitangaza nafasi za kazi za director of employment facitation and local content na manager of business development and faciliation za NATIONAL EECONOMIC EMPOWERNT COUNCIL...
Habari zenu,
Nimemaliza level 2 ya umeme juzi tu hapo.
Nilikuwa naomba mnisaidie kwenye maswala ya kazi zinazohusiana na Umeme au sehemu ya kujishikilia mdogo mdogo nipate mia mbili tatu za...
Jamani kama mtu amemaliza chuo cha ufundi veta amepata certificate ya level II (VC2) na Level III (VC3) anaweza kuajiriwa sehemu gani au anaweza kuomba kazi sehemu gani naombeni msaada jamani.🙏🙏🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.