TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WAKUSANYA USHURU
Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea anapenda kuwatangazia wananchi wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya Ajira ya Muda (Vibarua) kwa nafasi ya...
Habari za saa hizi wanaJF.
Naomba kujua, unapohamishwa kikazi bila kuomba kwa mtumishi wa umma, ni stahiki zipi inatakiwa kulipwa?
1. Kuna posho ya usumbufu
Hii inatolewa unapotoka au unapoenda...
Natumaini mu wazima kabisa ndugu zangu. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25,mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa nipo Tanga mjini. Nina elimu ya kidato cha nne.
kutokana na ugumu wa maisha uliopo...
Wanajamvi nawasalimu katika jina la Bwana Mungu Mkuu.
Taasisi ya Benjamini Mkapa ni kitengo ndani ya serikali au ni Taasisi binfsi? Nauliza hivyo kujua kama mtu akiajiriwa na hiyo taasisi anakuaa...
Habari, Wazima?
Natafuta kazi shule ya kufundisha masomo CHEMISTRY AND BIOLOGY Nina stashahada ya walimu katika masomo hayo for connection please contact me 0752248662
Habari wana jamvi.
Nina mtoto wa dada wa kiume anamiaka 28 , amemaliza degree ya accountancy mwaka 2017 , nilimuingiza kwenye biashara , sasa anataka pata ajira biashara ngumu.
Hana uzoefu wa...
Habari zenu wanajamvi..!
Binafsi ni muhitimu wa ngazi ya shahada ya kwanza katika kada ya uchimanji madini (BsC in Mining Engineering) .
Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye connection ya kazi...
1. Grants Accountant
Posted Date: 10-Dec-2020
Location: Dar es Salaam, Tanzania
Company: Plan International
The Organisation
Plan International is an independent development and humanitarian...
GRANTS COMPLIANCE OFFICER
BACKGROUND
PHSRF is a non-governmental organization that was founded on demand-driven reasons for saving lives of Tanzanians. Formed out of former Angaza Zaidi program...
Global Sector Lead Livelihoods
*Please submit your CV in English.
PURPOSE OF POSITION:
The position provides global leadership and direction for the Livelihoods Sector, leveraging all entities...
COUNTRY MANAGER TANZANIA
Vacancy
Digby Wells Environmental, a service provider to the resources industry, is looking for a candidate for the above position in our Dar es Salaam, Tanzania office...
Ndugu zangu, hakuna mtu anayetaka kukupa kazi kama msaada kwako.
Watu wanakupa kazi ili utimize mahitaji yao ili na wao wakulipe kutokana na kazi unazowafanyia.
Ukiwa unaomba kazi mahali popote...
Nimepata kazi ya "UALIMU" katika hizi ajira ambazo zimetoka juzi. Lakini wakati naomba hii ajira ya Ualimu sikuwa na kazi.
Ila katika kipindi hiki cha kusubiria ajira ya Ualimu nimepata kazi...
Habari za mchana wakuu,
Hivi kwa mtu anayeanza kazi bank especialy Equity na Azania anaanzia kulipwa kiasi gani? Naombe mnisaidie kwa anayefahamu.
Ahsanteni
Habari wadau.
Huwa nashindwa kuelewa ni kigezo gani kilitumika hapa Tanzania (Sina uziefu na nchi nyingine) kupanga Viwango vya Mishahara?
Kama kigezo ni ugumu wa kazi naamini kuna baadhi ya...
Hello guys,
Natumai mko na siku njema nyote na ata ambao wana ili nalile yote ndo maisha.
Naitaji kupata experience kwa mtu aliyewai kufanya kazi kwenye Microfinance moja mjoni apa inayoitwa...
Habarini za wakati;
Nimemaliza chuo mwaka 2019 na ninadegree ya uchumi (Bachelor degree of science in economics; economic policy and planning) nimejitahidi kutafuta sehemu ya kujitolea, kazi au...
Hivi wadau kuna uhusiano wowote wa lugha kwa Tangazo la kazi lililoandikwa kwa kiswahili au kingereza na barua ya maombi ya kazi, inatakiwa iendane na lugha iliyotumika kwenye tangazo..?
Registration Specialist (1 Position)
Medical Teams International Tanzania
Department Programs
Reports to Medical Officer Technical: M&E Officer
Location Nyarugusu, Kasulu Kigoma
Workdays & Hours...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.