Organizational Settings
The Food and Agriculture Organization of the United Nations (FAO), leads international efforts to alleviate hunger, eliminate poverty and achieve food and nutrition...
Habari zenu wanajukwaa . Direct kwenye maada bila kuwachosha.
Ni nahitaji Mdada Wa kazi za ndani. Nyumba haina mototo mdogo. Yaani mdogo kabisa yuko fomu kwani. Kazi ni za kawaida za nyumbani...
Salamu nyingi kwenu wakuu,
Mimi ni kijana mwenye elimu ngazi ya degree na pia Nina uzoefu wa Mwaka 1 kwenye banking and finance.
Naomba msaada wenu ili nipate kazi iwe kwenye taasisi, shirika...
Doctors with Africa CUAMM Jobs
Background:
About Doctors with Africa CUAMM Registered Trustees
Doctors with Africa CUAMM Registered Trustees is a health organisation that implement health...
Procurement Officer
Precision Air Services Plc is a fast-growing private Tanzanian airline which operates in Partnership with Kenya Airways, with its strategy to expand wings beyond East Africa...
FLEX ENTERPRISES LIMITED ,well reknowned Company is looking for the following people for Vacancies.
1.Administrative manager-1
2.Housekeeping managers-2
3.Marketing Managers-2
4.Housekeping...
Maisha yanakaba mtaani, inafika hatua hata vitu ulivyovinunua kwa ajili ya matumizi binafsi unaanza vifikiria ni jinsi gani vinaweza kuongezea kipato, mimi ni kijana umri miaka 24 sina ajira ya...
First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism...
Leo Wapinzani wote wameporwa na kufukuzwa bungeni.
Na ndio tunaanza kushuhudia RUSHWA zilizokithiri katika suala la ajira, hasa hizi 13,000 za waalimu.
Waombaji waliotuma taarifa za uongo...
Wadau msaada mwenye hints za aptitude test za Tanzania Postal Bank anisaidie, Nimeitwa kwenye interview position LOCAL TRAINER
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi mhitimu wa shahada ya kwanza ya benki na fedha (Bachelor Degree of Banking and Finance) katika chuo cha usimamizi wa fedha (IFM). Nina ujuzi katika application za MS Exel, MS word, MS...
Habari za majukumu ndugu zangu wa jf?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa wilaya ya kyela. ninaishi (mbeya mjini)
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu ngazi ya shahada ya kwanza ya...
Fake employment vacancies in the name of the United Nations have become a staple of internet fraudsters. Recently, our intelligence team came across one of such scams. It was a PDF document being...
Habarini wakuu.
Sijui kama namna nilivyo weka kichwa cha uzi wangu kitakua sahii sana, japo lengo la uzi huu linabeba maana sawa na hiyo heading. Niende sasa kwenye content niliyokusudia.
Imekua...
Habari kwa mara nyingine tena,
Ndugu zangu bado sijafanikiwa kupata kazi ya udereva wa magari madogo hasa ya uber,nimekuja tena kwa mara nyingine kuomba msaada huu kwenu, kwa yeyote mwenye...
https://www.linkedin.com/jobs/view/2315558137/
Fuateni hiyo link linkedin
Summary
The Marketing Manager will be responsible for all marketing initiatives that would grow our customer base in all...
Naitwa Daud Benjamin. Ni muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo posta Dar es salaam.
Nilihitim mnamo mwaka 2019 na kupata degree ya science in social protection Niliikanaji wa ajira umekua mgumu...
Habari.Mimi naitwa David Benjamin.
NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies.
Toka nimehitimu nimekua nikitafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.