JWTZ walitoa ajira kama mara 2 hivi lakini hakuna hata moja niliyoona watu wakiitwa kwenye usaili. Ya kwanza kuna ile ambayo walitoa wakasema ni kwa ajili ya watu ambao mkataba wao umeshaisha na...
Habari familia, kuja jambo linanitatiza,
kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu...
Naombeni kuuliza kuna ndugu yangu anataka kujua:
Ukifanya oral interview sekretarieti ya ajira wanachukua muda gani kuibadilisha status ya account yako.
Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto.
Shule ni mpya na Usaili...
Habari,
Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.
0617146950
Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri...
Habari,
Nina kazi ya kukusanya data kwa wakulima wa alizeti katika Wilaya ya Iramba Mkoa wa Singida.
Natafuta jumla ya vijana sita waliomaliza degree lkn hawana ajira kwaajili ya kukusanya data...
Job type: Full-time
TITLE:
Project Accountant (1 Position)
Organization:
Tanzania Women Chamber of Commerce (TWCC)
Duty Station:
Dar es Salaam
Type of Contract:
Full Time
Reporting To...
Job type: Full-time
JOB VACANCY – LABORATORY SUPERVISOR
Title: Laboratory Supervisor
Duration: 12 months (Fixed Term Contract) – Full time position (100%)
Direct Reports: Project...
Hivi hizi kazi za watendaji wa vijiji na kata kwanini wamepewa kazi ya kuajiri wakati wanashindwa kufuata taratibu nzuri za kuajiri? Maana nimeshangaa sana kuwaita watu kufanya interview za kwanza...
Vacancy:
Health Volunteer – Receptionist
Ref: 2024-18
Job type: Full-time
Comprehensive Community Based Rehabilitation in Tanzania (CCBRT) aims to be the preferred provider of accessible...
Wakuu naandika huu uzi inshort nmeridhika sahivi sina hta nyege ya ku apply kazi yotote ile kama kutafuta kazi nmetafuta nimechoka na upper second nzuri tu lakin ndo hvo nmeenda kila kona patupu...
Job type: Full-time
ABOUT US:
Tanzania Commercial Bank is a Bank that provides competitive financial services to our customers and creates value for our stakeholders through innovative products...
Job type: Full-time
ASSISTANT TREASURY ACCOUNTANT (1 Position(s))
Responsibility:
Perform routine accounting task e.g. posting process, data entry, posting of ledgers and preparation of voucher...
Job type: Full-time
KAIRUKI UNIVERSITY
VACANCY ADVERTISEMENT
Applications are invited from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the position of Supplies Officer at Kairuki...
Job type: Full-time
Job Description: HIV Program Officer
Organization Overview
The Global Programs (GP) Office in Tanzania is an affiliate of the University of California, San Francisco (UCSF)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.