POST
GAMES TUTOR II - 4 POST
EMPLOYER
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
APPLICATION TIMELINE:
2024-10-04 2024-10-14
JOB SUMMARY
NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
I. To assist senior games...
POST
ARTISAN II -(CARPENTER) - 1 POST
EMPLOYER
Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU)
APPLICATION TIMELINE:
2024-10-04 2024-10-14
JOB SUMMARY
N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. To...
Tusichoshane..
Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine...
Habari,
Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA.
Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu.
Natanguliza...
Mzuka?
Naomba niulize wana jukwaa
kuhusu swala la overtime kwenye ajira.
Hivi overtime huwa inakuwa na makato yoyote kama Nssf au mwajiriwa anatakiwa apewe overtime yake kama ilivyo? kabla...
Nina mdogo wangu binti, miaka 28 akiwa na uzoefu wa miaka 2 ya kazi.
Kwa sasa yupo Dar es salaam anahitaji kazi aidha ya kuajiriwa au mshauri binafsi wa masuala ya kisheria kwenye taasisi...
Wakuu, nilipoteza cheti original cha chuo, nna copy tu ambayo iko certified. Nimetuma maombi ya kazi nmb na kcb bank nafasi zilizotangazwa hivi karibuni.je kutokua na cheti og kunaweza...
Je umuhimu wa Degree zetu upo wapi huku mtaani, tunasota na tunahangaika na mabahasha kutafuta ajira huku serikali ikiweka ahadi kede kede ambazo hazitekelezeki
Haya hata hizi kazi mbalimbali za...
We invite reputable Class 6 and above building contractors registered with the Contractors Registration Board (CRB) to submit tenders for this project. Guidelines and further details will be...
Kwa wale walioomba nafasi ya utendaji kwenye halmashauri mbalimbali majina yameanza toka Sasa hapa itakuwa ndo mahali pa kupeana taarifa mbali mbali.
MASWALI YA BAHI
WRITTEN/WRITTEN
LEO TAR...
Kwanza niaze na salam ..Asalam alaikum wakubwa wa jamii forum
Kwa majina naitwa
saleh khamis
Ninatafuta kazi ya Mwakilishi wa Mauzo | Agent wa Huduma kwa Wateja | cashir au kazi yeyote...
Acheni kutuchukua vijana Kwenda JKT mkatulimisha kisha mkatuacha MTAANI, Ajira zikitokea mnaajiri watoto wenu ambao hata JKT HAWAJAPITA, halafu mtaani wanajisifu, Watu wamekaa JKT miaka 3 halafu...
About EA Fruits
East Africa Fruits is a food-tech company focusing on the efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around...
About EA Fruits
East Africa Fruits is a food-tech company focusing on the efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around...
About EA Fruits
East Africa Fruits is a food-tech company focusing on the efficient distribution of foods from farm to market. It has an extensive operations and logistics team that works around...
Habari wana JF mimi ni dereva lakini leseni yangu ni daraja (D) na nina uzoefu wa mwaka na nusu sasa,nawezaje kupata ajira?
Elimu yangu sio kubwa ila nimeishia STD VII kusoma na kuandika niko vizuri.
Kuna mdada yupo Mipango Dodoma, kama kuna mtu anaehitaj kufuliwa siku ya leo ndani ya Dodoma mjini, sharti nguo na kila unamtolea nje na hamna extra service.
naenda mahali mteja alipo namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.