Jamhuri ya muungano.
Katika moja na mbili nikakutana na kijana anayeishi upande huu wa pili wa shilingi (Zanzibar), akiwa mnyonge sana, mdomo mkavu mithili ya dagaa wa nyasa waliokaushwa, kichwa...
Jamhuri ya Muungano....
Kwenye usaili wa Oral Kada ya afya wengi wameboronga kwa sababu ya kingereza kibovu. Kutokujua kingereza wengi kumewafanya wasijiamini katika kujieleza.
Ndugu zetu...
Wakuu habari,
Nimegraduate Bachelor of Science in Forestry 2022, na kwa sasa nipo Dodoma najitafuta.
Natafuta mtu yeyote anaeweza nisaidia kupata nafasi ya kufanya Internship kwenye ofisi ya...
Wakuu, ninakaribia kutimiza mwaka tangu nihamie sehemu hii ninayoishi sasa. Lakini hali niliyokutana nayo hapa inaniumiza sana, hasa kutokana na biashara ninayotaka kuanzisha. Biashara hii...
Habari wakuu
Kuna yoyote aliyewahi Fanya online test za eacop project kwa upande wa law wanauliza maswali gani msaada make pale Kwenye description hawakusema
Chochote haswa kwa watu wa...
Habari wadau,
Natumaini ni wazima, naombeni kuuliza kwa yeyote anayejua kuhusu hii njia ya kwenda, Ulaya kwa njia ya kanisa na baadae kujilipua na kubakia hukohuko ulaya, na mwishowe kupata...
Habari wana jamvi.
Jiji la daslamu limejaa shughuli nyingi kuanzia viwanda vidogo mpk vikubwa, makampuni, mashirika na hata michongo midogomidogo.
Kutokana na uwejezaji huo kwenye sekta...
Wilaya ya kisarawe, hivi karibuni kumefanyika uhamisho wa baadhi ya watumishi kwenda vituo tofauti vya kazi, uhamisho huo umefanyika bila malipo ya stahiki ambazo watumishi wanatakiwa kupatiwa ili...
Katika kada inayoongoza kwa kulaumiwa na kuonewa ni afya. Sasa viongozi wa kada hiyo ni madaktari maana ndio moyo. Nataka kujua, wanalipwa kiasi gani mpaka wanaonewa kiasi hicho?
Tulinganishe na...
Natafuta mfanya kazi mwenye uzoefu wa kazi ya uwakala (money transaction) Tigo pesa, Airtel money, M-PESA, Halopesa, CRDB & NMB Ofisi ipo kigamboni Mikadi /Dar es salaam Tanzania. awe na uzoefu...
Poleni na kazi wakuu,
Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anayemiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari.
Napatikana Dar.
Kwa mawasiliano zaidi...
Nina kijana/rafiki
Fundi mzuri wa magari (mechanics), yupo Dar anatafuta kazi
Ni Kijana muaminifu sana (hatumii kileo chochote), Elimu kidato cha nne; amepata ujuzi huo kwa kufundishwa katika...
Location: Horizons College of Learning and Enrichment, Australia
Position Type: Full-time
Salary:Competitive, based on experience and qualifications
Application Deadline: 30/10/2024
Job...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu.
Nipo Dar es salaam ila nipo tayari kufanya kazi hata nje ya Dar es salaam.
Umri = 31
Elimu = Form four
Uraia = Mtanzania
Uzoefu = Miaka minne
Note...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.