Wakuu naombeni mwenye link yoyote ya kunisaidia kupata kazi anisaidie.
Nina bachelor ya Hr 2014 na masters ya hr 2022, nimekomaa kusaka ajira mara kadhaa bila kufanikiwa, nilipomaliza chuo...
Huku Mbeya wilaya ya BUSOKELO nimeona mchanganuo wa gharama za mafunzo kwa miezi 6 kwa kila mmoja ni 2,359,940 Tshs.
Hapo ni gharama za ada ya mafunzo vifaa, bima ya afya, malazi na chakula...
Log in > Nenda my Application > Employer.
Kuna watu washaanza kupangiwa sehemu za interview....
Interview ya kwanza(kuandika) utafanyia ulipoombea...
Interview ya pili(Oral)utafanyia mkoa...
Mjiandae..
Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral.
Kisha...
HELLOW WALIMU TARAJALI
Kuna jambo jipya huko Ajira portal.
kila moja aingie kwenye account yake kisha aconfirm employer wake.
Thibitisha mkoa wako je ndo ule uliochagua katika barua ya kuomba kazi?
Wadau, nimeona kwenye account ya ajira portal kwenye maombi ya ualimu nimewekewa mikoa alafu nimeandikiwa confirm employer, lakini ni mikoa ambayo mimi sikuomba. Je naweza nikabadilisha!!??
Inakuaje sikuizi watu wengi wanataka kusafiri nje sanasana kwa ajili ya kazi. Magroup ni mengi na wahamasishaji ni tele pia.
Sasa nikupashe labda uwe na ndugu zako nje au umepata mpenzi la sivyo...
Kuhusu waliiomba ajira tunaambiwa tu confirm employer lakini nime Fanya ivyo ikaandika submitted ila hakuna kilicho change Bado ni vile vile confirm employer hapo wenye uelewa atueleweshe
Salaam,
Ninao wateja wa uhakika kwa baadhi ya hotel za hapa D'salaam na makazi ya watu(apartiments nyingi)
Anatafutwa mpeleka mzigo kwa baadhi ya ofisi pale mtaa wa Nkurumah( Aura tower, Rissa...
Kindly allow me to add value in your activities by financial data analytics and reports by the use of advanced excel tools and other applications.
This can be done remotely from my office at...
Wakuu mimi ni zao la hapa JF
mara kadhaa Jf imekuwa kimbilio langu pale nilipo yumba kiuchumi nika kimbilia hapa niliweza kusaidiwa vya kutosha wachache wanaweza kukumbuka jina Mkongoro...
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau.
Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda...
Habari zenu Wakuu.
Jamani kama amekosekana wa kunishika mkono kupata KAZI) Kibarua, Tafadhali nisaidieni majina na location ya viwanda ambavyo wanapokea vibarua.
Nawaomba sana, Nikipata kazi ya...
Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni).
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
Kampuni nyingi...
Kuna watu wanakosa kazi kwa sababu ya kuwa na sifa kubwa zaidi ya zinazohitajika. Kumbuka ku adjust CV yako iendane na kazi unayoomba.
Soma kisa cha Marcial hapa:
Despite having an MBA, Marcial...
Habari za leo wanaJamiiForum
Kijana wenu ni mhangahikaji hapa mjini, nimeomba tenda fulani kupitia kwenye mfumo wa manunuzi wa serikali(nest) na nimefanikiwa kupata tenda hiyo kwani nimepokea...
Viongozi wanaohusika tunaomba ufafanuzi kweny hili wengi wetu mikoa ambayo tuliomba sio ile ambayo tumeandkiw kweny account zetu za ajira portal kweny kpengele cha employer na kuna ujumbe umetumwa...
Jinsia: Mwanaume
Umri:21
Elimu: kidato cha 6
Mafunzo: JKT kwa mujibu wa sheria 2022
Fani: Udereva (leseni hai kwa madaraja A A2 D)
Makazi: Arusha
Nilikuwa naomba kwa atakae guswa au mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.