Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Naitwa David, nina miaka 25 naomba kazi ya kutunza nyumba kwa Dodoma mjini. Mawasiliano +255624576521
1 Reactions
0 Replies
269 Views
Habari nina kijana (wa kiume) anatafuta kazi ya udereva, Kumuendesha mtu, Kiongozi, Gari la shule, taasisi, kampuni n.k Kwa aliye na nafasi ya kazi please!
2 Reactions
12 Replies
396 Views
View Vacancy - Senior Programme Manager (04/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination...
4 Reactions
175 Replies
14K Views
Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji kupata bajaji ya mkataba, kwa yeyote anamiliki au anataka kufanya biashara ya bajaji basi mimi niko tayari. Napatikana Dar. Kwa mawasiliano zaidi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Natafuta msichana wa kufanya kazi saluni ya kike iliyopo Mbagala kuu, Dar es salaam -njia ya Kijichi. Awe anajua kusuka mitindo yote, kuweka dawa, steaming, kuosha nywele na kazi...
1 Reactions
0 Replies
237 Views
Wadau naomba kufahamu,hivi katika suala la kuajiriwa kwa vyeti, iwapo jina lako la kati herufi moja haifanani katika vyeti na nida Mfano, Jina la kati huku ni "Hamad" na kule ni "Hamadi". Tofauti...
0 Reactions
9 Replies
624 Views
Ukiambiwa Kufuga kuku inalipa, kabla hujakimbilia Kufuga lazima ujiulize, anaeongea hilo ni nani? Je, ni muuza vifaranga, ni muuza vyakula vya kuku ama ni muuza nyama za kuku? Je, umewahi kusikia...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna uzi humu unaongelea makampuni ambayo hayajari wafanyakazi wake., wengine wananyanyasa kabisa wafanykazi. Upande mwingine kuna makampuni au Taasisi ambazo zinajari wafanyakazi au waajiriwa...
6 Reactions
17 Replies
785 Views
Habari, naitwa Daniel ni dereva mwenye uzoefu na leseni iliyohai. Natafuta gari kwaajili ya biashara ya tax mtandao kama bolt, uber, inDrive nk. Gari iwe ya hesabu za kila wiki au mkataba naweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu WanaJamii, Kuna mdogo wangu aliajiriwa kama Mwalimu na kabla hajaajiriwa alishafanya Interview ya Afisa Mipango kule Secretariat na juzi kapata barua ya ajira hiyo ya Afisa Mipango Mji, na...
0 Reactions
50 Replies
9K Views
Hivi Kuna mtu alifanya aptitude test ya exim bank graduate trainee? Je amejibiwa?
0 Reactions
0 Replies
281 Views
Kama kichwa kinavojieleza natafuta kazi ya kuweza kujikimu, nina diploma ya uhasibu Kwa yeyote anayeweza kunisaidia au kunipa mawazo ya jinsi ya kujikwamua, mitihani ya utumishi nimeshafanya...
2 Reactions
3 Replies
481 Views
Roho mtakatifu amenijulisha kuwa kabla ya kuisha kwa mwezi huu nitapata kazi nzuri katika taasisi nzuri, itakuwa na mshahara na marupurupu mazuri, na nitafanikiwa kimaisha na kiujuzi. Asante...
19 Reactions
33 Replies
853 Views
Msaada jamani nashindwa Kubadilisha cheti ajira portal kuweka kilichokuwa certified. Kila nikojaribu naletewa hivi.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari Waungwana . Nina qualifications za hii kazi lakini nikiomba inaniandikia hivo. Shida inaweza kuwa nini
1 Reactions
18 Replies
848 Views
Hapa huwa tunakosea sana sana. Work under pressure ? Hivi nyie wasaka ajira kama mimi huwa mnaelewa maana yake? This is a real meaning of work under pressure
5 Reactions
8 Replies
494 Views
Nahitaji kijana serious wa kiume haraka wakusimamia playstation Centre, ipo Chaduru Dodoma, karibu na Dodoma rafiki hotel.. godoro lipo. Call 0753233879 Nahitaji Kijana mjanja tushirikiane...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Kampuni ya ulinzi ya Security Group inatangaza nafasi za kazi ya ulinzi kwa wenye sifa zifuatazo; 1. Lazima awe raia wa Tanzania 2. Umri kuanzia miaka 21 hadi 35 3. Elimu kidato cha...
1 Reactions
9 Replies
40K Views
Back
Top Bottom