Heshima yenu wakuu.
Ninaorodhesha credentials zangu hapo chini kwa lengo la kuomba kazi ya muda mfupi ama mrefu yenye malipo yasiyopungua 15,000/= kwa siku.
1. Ninaishi Kigamboni
2. Umri wangu...
Habari wakuu,
Naitwa Erick Bernard natafuta Kazi ya ualimu nimesomea early child hood.
Sifa zangu
Mpole na mwenye kuheshimu kila MTU
Mchapakazi
Ninafundishika
Hofu ya Mungu
ELIMU- degree ya...
UNAHITAJI KUDESIGN STICKERS & PRODUCTS LABELS,VIPEPERUSHI,POSTER NA LOGO YA BIDHAA YAKO?
Usikubali bidhaa yako uize kiholela sokoni bila kuwa na utambulisho wenye muonekano mzuri na kuuzika...
Habari wakuu,
Samahani kwa mwenye uelewa wowote kuhusu usahili kwa kada ya Afisa Afya Mazingira anisaidie, pia nakaribisha wanakada wenzangu tujadili kujiandaa na usaili.
SHUKRAN IN ADVANCE
Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji.
Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia...
Habari jamani Mimi ni Personal secretary kwenye shirika binafsi.kuna post imetangazwa utumishi.nataka kuapply ila sijaelewa iyo scale yao ya mshahara ni sh.ngapi naomba Msaada tafadhali
Mimi ni mwajiriwa kampuni fulani hapa Dar es Salaam ila kuna kazi imetokea yenye mshahara mzuri kuliko huku nilipo sasa kulikua na mchujo hatimae tumebaki watu watano kati ya 20.
Miongoni mwa...
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.
Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Wakuu habari za siku, kama heading inavosema hapo juu, Kama mpo humu jukwaan Wasaka ajira wenzangu wa kada ya Forest Officers au waajiliwa mlioko kazini tusaidiane peana hints ili sote kwa pamoja...
Background
KalTon Investment is a sole proprietor with registration number 515583. KalTon Investment is a financial services agent for Airtel Money, Mpesa, Tigo Pesa, HaloPesa, T-Pesa and Selcom...
Kwa mara nyingine tena ni mimi na mambo ya Ajira portal msinichoke.
Wakuu ivi certified true copy ukiachana na kiwe na muhuri wa wakili, je inaweza kuwa hata black and white au ni lazima iwe...
Salama wana jukwaa,
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu.
Elimu yangu ni "Bachelor of...
Anahitajika mwalimu wa kujitolea hasa wa kike, awe na uwezo wa kufundisha darasa I na II, hata chini ya hapo siyo mbaya. Awe mahiri wa lugha za Kiingereza na Kiswahili, hasa kuzungumza Kiingereza...
Internship for Tanzania Private Sector Strengthening Project
The USAID-funded Feed the Future Tanzania Imarisha Sekta Binafsi (Private Sector Strengthening) project in Tanzania, implemented by...
Dreaming big is in our DNA. It’s who we are as a company. It’s our culture. It’s our heritage. And more than ever, it’s our future. A future where we’re always looking forward. Always serving up...
Background
KalTon Investment is a sole proprietor with registration number 515583. KalTon Investment is a financial services agent for Airtel Money, Mpesa, Tigo Pesa, HaloPesa, T-Pesa and Selcom...
Salama wakuu,
Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu.
Elimu yangu ni "Bachelor of Business...
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka,
Najua humu JF kuna watu tofauti tofauti wenye uwezo mkubwa,kati na chini wote kwa pamoja msaidieni binti kibarua chochote aweze kujikwamua kimaisha ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.