Kwa wale wasio na mambo mengi mfano wanaandaa tu ripoti ya mauzo excel inawafaa lakini utawakuta kuna hawa wafanya biasahra wana mafaili kibao ya mauzo, madeni, stock, matumizi, n.k. bado...
The two engine types are quite different however. While both have similar internals, the big difference is the way the fuel is injected into the engine.
With the VVTI engine, fuel is injected into...
http://youtu.be/hHhPmRHvMRI
Unit- 1
Website ni kitu gani ?
Kwa tafsiri ya haraka haraka tunaweza kusema kuwa website ni mahali panapotumika kuhifadhi webpage moja ama zaidi. Hii elimu inaweza...
Wakuu nilikuwa natumia yo whatsapp, nimepigwa ban kama inavyoonekana hapa chini.
Namba hii ni muhimu sana kuwa whatsapp.
Nitumie ujanja gani kuifungua?
Habari wadau,
Natafuta ruler za pica nimezunguka nimechoka sasa naomba msaada hz ruler unaweza kuagiza kutoka nje shida gharama sn adi ije ikufikie ni kama laki hivi nataka niitumie kwenye design.
Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo.
Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms.
Chief-Mkwawa
Wakuu habari zenu.
Ndugu zangu nahitaji kufahamu kama laini za Airtel hazikubali kwenye simu ndigo ya kgtel maana nikiweka kwenye simu nyingine inakubali vizuri lakini nikiweka kwe simu tajwa...
Wataalam simu yangu imekataa kuondaa alama ya earphone. Hata nikichomeka earphone na kutoa bado alama hiyo haitoki. Hali hii imesababisha hata kukata sauti kwenye spika ya simu Ninaomba msaada...
Wakuu kwema?
Naombeni msaada jinsi ya ku update app ambayo nimepakua kupitia Google na sio Playstore.
App kama GB Instagram.
Msaada kwa anaefahamu.
Forgive me
Habari wakuu
Leo ningependa kuongea na wadau ambao wanapenda kufanya electronics.
Tufahamu kuwa technolojia inakuwa kila siku kwa speed kubwa sana lakini..
kitu kizuri ni kwamba katika kanuni...
Msaada wadau natafuta fundi Mzuri nasisitiza mzuri maana mafundi wa electronics "wengine" wabahatishaji.
Hivyo kama unafaham fundi anae jua kutengeneza hizi external hard drive Naomba anisaidie...
Wadau ivi kufungiwa whatsApp (ban) ni kutokufata zile sheria ZAO Au kuna kingine ,mana mm natumia whatsApp officiall ambayo ni whatsApp messager, juz waliniban nikawaomba walinifungilia nikazisoma...
Wakuu kwema? Nina simu janja yangu nikiweka mfukoni mara nyingi nakuta Camera imrjiwasha yenyewe
Tatizo hili nalitatua vip maana linamaliza chaji na kuua betri haraka
Tafadhali kama kichwa kinavojieleza, nina shida ya kuwasiliana na mafundi wa fani hiyo walipo ndani ya mkoa wa kigoma..
Shida yangu kubwa ni kuwa kama watakuwa tayari basi niwe mwanafunzi tu...
Our records indicate that the following
shipment has been delivered:
Reference:
326-977-201312261019-1540540
Ship (P/U) date:
Dec 26, 2013
Delivery date:
Dec 31, 2013 2:21 PM
Sign for by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.