Habarini za jioni wanajukwaa
Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho
Nimejaribu kuichunguza...
Nipo interested na mambo haya ila nilipotaka kufatilia nilikuwa nazungushwa sana, nikaja kugundua kwamba hii kazi ya blogging wanaotusua ni wale wanaotumia njia nyeusi na ndio mana hawapo open...
Habari wakuu,
Nina Sony home theatre, hivi karibu iligoma kuonesha any signals pale mbele kwenye kidude cha ku display.
Nikaipeleka kwa fundi, katika uchunguzi alisema kifaa ambacho nimeweka...
Watumiaji wa opera browser mnaarifiwa kuwa opera wameongeza Aria browser AI bot kwa ajili ya kuchat na wewe. Unauliza swali unapewa majibu. Ni kama ChatGPT lakini yenyewe haihitaji kulipiwa...
Kwenye fight ya mwisho kratos god of war mwenyewe pamoja na mtoto wake atreus na shemeji yake Freya wote wanashirikiana kumpiga Odin (Jambazi kuu).
Uzuri wa Hii game ni kuwa ina story nzuri sana...
Sijaona robot ambaye yuko emotional kama yule wa Airtel.
Nazani mama mpaka Leo anajua yule jamaa ni Robot. Kwa maana ile siku alimsifia kweli kweli , bila ya kujua ni mtu
Na bado sijajua elimu ya...
Habarini wana jukwaa,
Kuna case kadhaa kwa watumiaji wa WhatsApp Gb namba zao kupigwa burn wasiweze kutumia tena whatsApp hata hizo za kawaida.
Hii inaeelezwa namba hizo zinafungiwa miaka 5 up...
Hatimae transition holdings wamiliki wa tecno, infinix, oraimo na itel wameshika nafasi ya tano kidunia kwa uuzaji simu, pengine miaka mitao ijayo wakashika namba Moja.
Soma hapa Canalys: Global...
Wakati Teknolojia inazidi kushika Kasi ulimwenguni Sasa kampuni ya Precision Air imeleta njia Rahisi ya kukata tiketi, Sasa utakua na uwezo wa kukata tiketi za safari ya ndege kupitia mtandao wa...
WhatsApp waniban Namba yangu baada ya hapa nikawaomba kupitia email yao na wakanifungulia ila ajabu Kila nikitaka kulog in wananiambia kwamba situmii officially whatsApp na muda huo natumia...
Kule X ama Twitter Bwana mkubwa Tajiri namba moja Duniani, mmiliki wa makampuni ya Tesla, X, X.al, Boring Company, Space X na makampuni mengine mbali mbali alianzisha utaratibu wa kuwalipa...
The reason why most users choose PDF format to share and transfer documents is because they can be protected by the creator. Content, such as text and images, can not be copied or stolen from such...
Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza...
Wakulu habari
Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa.
Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na...
Nafikiri swali linajitosheleza..
Nitaweka na la nyongeza je naweza fanya online banking mfano najisajili online,natoa hela Skrill naweka bank then naihamishia kwenye simu is it possible...
Kuna Gamer yoyote ambae ana collection ya PC games (2019 - 2020)? ninazo games kadhaa. kama tungeweza kubadilishana itakua poa. Don't tell me FIFA, GTA 5 and Call of Duty. XD
Adhabu hiyo imetolewa na Mamlaka ya Ulinzi wa #TaarifaBinafsi ya Norway baada ya META kutoweka wazi jinsi inavyoingilia Faraga za Watumiaji wake kupitia Matangazo ya Biashara
============...
Link hii hapa
(FIFA 17-STEAMPUNKS » SKIDROW-GAMES)
Viwango vya pc vinavyotakiwa ni hivi hapa
FIFA 17 system requirements
Minimum
OS: Windows 7/8.1/10 - 64-Bit
CPU: Intel Core i3-2100 @ 3.1GHz or...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.