Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wana jf hatimaye Leo nimefanikiwa kuroot simu yangu kwa kutumia flamaroot sasa naomba msaada wenu hii flamaroot Niki I uninstall kuna tatizo lolote?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninatumia Samsung Galaxy S3 mini ambayo ina Run custom Rom(CyanogenMod11) sasa nataka kubadili Rom nakuweka CganogenMod12. So nahija Link ambayo naweza kudownload hyo custom Rom(CyanogenMod12)...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau, nimejitokeza kuomba msaada huu ,kwa pesa ya kibongo 60,000 nitapata iPod ya brand tajwa hapo juu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu yangu y530 imeleta ujumbe huu. Inasababisha kila nikifungua browser kukata na nashindwa kuperuzi. Nimefuta kila kitu kwenye Card n internal memory lakini wapi? Mwenye ujuzi please
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Naweza kutoa thumbnail moja kwa moja? maana inachukua nafasi kubwa ndani ya internal memory
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujua bei ya simu tajwa hapo juu zikiwa mpya.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
US and Rwandan researchers said Wednesday they have developed a low-cost smartphone accessory that can detect HIV and syphilis from a finger prick of blood in just 15 minutes. This is the first...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KWA mtu anaelewa hili naomba sana sana anisaidie Natumia dell inspiron 15 3000 series Nliichukua ofisin ikiwa mpya ilikua imewekwa window 7 ultimate, lkn haikua na Ms office, nikatafuta mtu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Siku hizi kuna mitandao ya kila aina mpaka rafiki yangu Le Nanihii anao ila inayoelimisha na kuhabarisha kuhusu Tehama ni michache au hakuna ya uhakika. Naombeni idea jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina Laptop HP Probook 4320s, Button ya wi-fi haiwaki white kuniruhusu ni kamate wi fi nime uninstall ni me disable wapi nimeenda katika forum za hp ni fuata maelekezo wapi nimeamua kutumia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A hack at Anthem, the second-largest health insurer in the country, exposed personal information about millions of employees and customers. But the attack is just the latest evidence that...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana zuku wamenitumia txt kwenye namba ya cm na kunipa maelekezo ya kuscan receiver yao na nikafanya hvyo baada ya hapo wakanipa channel zinazopatikana kwenye kifurushi cha zuku classic ili hali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WanaJF nawaomba msaada kupata unblock code ya modem yangu. Model: E1550 IMEI: 3529 6504 3912508 Natanguliza shukurani
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Nili update firmware kwa kutumia Samsung Kies, nikafanikiwa, sasa nikitaka kupiga simu inaniandikia NOT REGISTERED ON NETWORK. Nikiangalia IMEI NUMBER naona imebadilika ni tofauti na...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu nipo mkoani kesho naelekea Dar es salaam.. ningependa kujua bei ya simu tajwa hapo juu na wapi nitaipata kiurahisi. Shukrani.
0 Reactions
11 Replies
14K Views
Kwa wale ambao wanapenda kubana matumizi wanaponunua Tv, Smart Tv Stick ni muhimu mno. Badala ya kununua tv ya Smart tv ya ukubwa wa 55" kwa shilingi Tshs 5,000,000, unaweza ukasave pesa kwa...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Jamani tu jaribu kushare any new personal ideas kuhusu science kwa ujumla including engineering coz I think Kila mtu Ana mawazo tofauti katika nature
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani wadau kuna mtu anazijua hizi fridge? Zinaitwa Home base. Any comment kwa ambaye anaitumia au ameshawahi kuzitumia?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
If your Android’s performance is starting to sag, don’t worry. There are several steps you can take to restore your device to working order. Use these five tips to stay vigilant against...
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Technology is really advancing at the speed of light with countries in europe and asia currently leading the pack. Africa is currently lagging behind and are dependent on already existing...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom