Kwa wanaotaka muongoza au njia nyepesi ya kuwa rubani.
Hapa nawalenga wale wa long haul.
Kurusha pipa kubwa la masafa na wala si hutu tu panzi na tupepeo twa kibongo.
KARIBU
Whasap yangu sioni sehem ya lock chat na pia ile sehem ya voice note kwangu haikubali kuonesha video kam whasap wanavodai wameongeza vitu hivi.
Whasap nimeiupdate lakini sion kitu, msaada please.
Twitter ni mtandao wa kijamii unaotumiwa na zaidi ya watu million mia moja kwa mwezi. Ni moja kati ya mitandao maarufu duniani nyuma ya Facebook.
Twitter inakupa uwezo wa kuwasiliana na marafiki...
Apple wameleta feature mpya kwa ajili ya afya ya macho kwa watumiaji wa Simu za iphones na ipad. Itaweza kukusaidia kulinda macho kutokua makavu wakati unatumia simu.
Feature inaitwa " screen...
Version---R554 (Satstar S6HD)
1, Added FTP update (Note: you can update new sw by 3G/4G/Wifi/Rj45 cable in the future)
2, Added Free IPTV live more than 2000pcs online
Hbr wakuu poleni pia na sakata la dp world
Hoja
Ninataka nimunulie wifi / shemeji wenu simu ya oppo au vivo ili niboreshe penzi ,SAS nauliza Ni ipi nzuri na durable .,na je Hawa kikuu Ni watu...
Wakuu habari za muda huu natumaini mpo powa leo naomba watu wenye uelewa wa kutengeneza beat kwa FL studio wanisaidie. Mimi nina idea ya kutengeneza beat ila kuna vitu sivijui kupiga live kama...
Habari Jf, Baada ya kuangaika sana katika harakati za kutafuta sehemu nzuri au kampuni nzuri itakayoweza kutoa Internet nzuri ya nyumbani na ofisini kwa gharama nafuu.
TTCL : Nilitumia ka muda...
Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa...
Watu wengi wamekuwa wakihoji swala Magari kunasa katika njia ya Treni, na Madereva Kuyatelekeza Magari yao na kukimbia.
Sumaku ya Treni Haiwezi kusababisha gari kukwama Katika Njia ya treni...
Habari wadau, natumia oppo A 55, nimejaribu ku-install snatube app lakini haikubali naomba msaada nijue nakwama wapi au nifanyeje. Nimeshaitua kwa simu ya awali Oppo A 16 na huawei.
Leo nitagusia kuhusu Sproutsgigs.Hii ni website ambayo unaweza jiingizia hela yako kwa kufanya task (kazi) utakazo kuta umepewa kwenye dashboard yako.Lakini pia unaweza toa kazi kwa mtu...
Siku ya majuzi jumapili. Sina hili wala lile wakati vitu karibu vyote vya mbele viko on? Radio (av receiver) tv na pc.
Ghafla tu vikazima mara naona moto katikati ya waya wa cable. Haraka...
Habari zenu wakuu
Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine.
Swali langu kwa waliowahi...
Wakubwa naomba msaada wenu simu yangu inanitaka ku update na inaniletea hiyo notifications hapo chini[emoji116][emoji116]je nifanye Nini nifuate maelekezo au nikiyafata naharibu sim.
Naomba...
Welcome X [emoji3]
Tajiri wa ulimwenguni Mr Elon musk ambaye anasifika kwa kupenda kufanya maamuzi ya kivyakevyake, Leo ameanza mchakato wake wa kubadilisha maisha mapya wa mtandao wa Twitter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.