Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naombeni msaada kabla sijauziwa simu chini ya mnara.....kuna hiyo sim apo kwenywe picha ni SAMSUNG GALAXY NOTE 3 SM -N900 Naomba kufahamu nitajuaje kama ni original na sio fake ili niweze rizika...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini washikadau wangu wa nguvu, naomba kuuliza kuna uwezekano wowote mtu kufuatilia mambo yako unayochat kwenye groups mbalimbali kupitia kwenye email yako, ikiwa anaifahamu na password. Kwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wadau naomba niambiwe program gani nidownload ili simu yangu iweze kusoma document zilizo kwenye mfumo wa microsoft word. pdf reader naona ninayo lakini haiwezi kuzisoma hizi za microsoft.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana tech nina computer aina ya dell optlex 745, tatizo lake haitoi sauti ila ukichomeka sound card usb inatoa, nimeangaika kuinstal driver nyingi tu lakini tatizo ni lile lile.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wadau, Ipod yangu ilidondoka kwenye maji na sasa haiwaki. Je! wapi naweza kupata fundi mzuri wa kuitengeneza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nataka kununua I phone 5s kwa yoyote ambayo anayo anipigie cm my no;0752369981
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayeweza kunielekeza jinsi ya kuroot simu yangu ya Vodafone vf 685 plz I'll thankfully
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukinipigia unaambiwa niko bize hata kama namba ni ngeni hunipati ila baadae nikiaangalia kwenye calls naona kuna mtu kapiga.. natumia adroid bml onemin
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau mwenye hyo MS OFFICE 2007 Anitumie au anioneshe link ya kudownload. ..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba kwa anayefahamu ubora wa hizi simu anisaidie specifically Alcatel 5036D jeal bean 4.2.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kunanjia nyingi za kuroot huawei y300. Naomba msaada kwa mtu aliewai kuroot huawei y300 na ikakubalii alitumia njia ipi? Shukrani
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nna cm kama 3 za android ambazo nlizi soft brick wakat nlpoziroot na kutaka kuinstall fonts, zikaingia kwa bootloop mode, kwamb ile bootanimation inaendelea tu kuwepo na cm haiwaki ikamaliza, na...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Closed
Simu yangu haioneshi massage znazoingiaa ila nikituma mimi fresh inaenda kama kawa. Nimecheki setting ziko fresh msg center no. iko vizuri. Nikichange line na kuweka kwenye simu nyingne...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Modem imekataa kuconnect toka juz on windows 8.1"the modem is alredy in use o not configured properly.
0 Reactions
1 Replies
716 Views
Natafuta mwalimu wa kunifundisha kutumia quickbooks, nipo mwanza. Awe mtalaam au ana uzoefu tu wa kutumia software hii. Kwa aliyeko mwanza au mikoa ya jirani naweza nikamfuata au akaja ofisini...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wadau, Kwa siku kadhaa sasa nmekua nikipokea hii sms kwnye simu yangu hata sijui chakufanya, nikiingia setting sielewi nifanyeje! nikicancel inajirudia. Naombeni msaada ni nini hiki na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu wapi ntapata keyboard used au mpya ya laptop tajwa.asanteni
0 Reactions
4 Replies
874 Views
Nawezaje kuzitambua namba za simu za Tanzania? Pia Nawezaje kuzitofautisha ktk makundi e.g Tigo, Voda, Airtel. Nina .Net application inayotumia number za simu, but lazima ziwe za Tanzania to...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakubwa naomba msaada wa kujua tatizo la simu yangu imeibua katabia kakuchemka. Sijui inasababishwa na nini napengine nifanyeje ili kuondoa hali hii. Asanteni
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom