Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia app ya JF kwenye simu ya android HTC. Sina uhakika kama version niliyonayo ni latest ila tatizo kubwa Nashindwa ku comment/kuchangia mada. Yaani baada ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau mnaotumia games kwenye simu natafuta pool table game iliyo poa. Naombeni msaada kwa iOS 8
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Wakuu Ebu naomba kujua ubora wa Huawei (P6 & P7) kulinganisha na Samsung Note 2, Note 3 na S4. Nataka kununua Huawei P6 au P7 ila nataka nijue zinatofauti gani na Samsung Note 2, Note 3 au S4...
2 Reactions
34 Replies
12K Views
Habari zenu wapendwa!!! Naomba msaada kati ya Boxer 150 na Yamaha ipi ni pikipiki nzuri ya kutembelea na si ya kufanyia biashara. Kuna ndugu kachangaywa na wenye nazo alipowauliza, kila mmoja...
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Wadau napenda kuwakaribisha hapa ili tuwe tunapeana updates za vitu vipya "smart phones" zinapofika hapa TZ, specifications na bei yake. Mfano: Nokia XL imeshafika bongo na kama ndio inauzwa bei...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu naombeni kuuliza hiv unapata wapi nyimbo za kibongo.nimezoea kudownload za kiingereza kutoka waptrick lakini kule hakuna latest za kiswahili .sasa naombeni kujuzwa nitawezaje kuzidownload...
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Habari Wakuu, Jamani mnaoinaje hii idea. Kuna baadhi ya makampun hapa tz yanatoa huduma mtandaoni kama za kibenki au insurance. Mimi sio programmer, ila nawezatengeza wireframes ambazo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu anamchumba wake hamuamini, alikuwa anahitaji kufuatilia mawasiliano yake. Nasikia kuna sim ambayo akimununulia anaweza kufuatilia mawasiliano yake pasipo muhusika kujua. Ni aina...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu mjin iringa nimekutana na duka lina ving'amuz vya startime ila wanatumia dish sasa swali je hawa ni matapeli au ni kweli iringa startimes inapatikana maana ni duka moja tu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa muda mwingi kuna tumekuwa tukijiuliza hivi inakuwa baadhi yetu wanacheki chanel za dstv zote bila malipo na wakati wengine tunalipia hadi 143000/- Sasa hapa bongo hivi sasa unaweza kuangalia...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Tatizo ni nini? Check picha hizo.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
ivi naeza tumiaa king'muz icho bila kulipia....msaada jaman
0 Reactions
2 Replies
702 Views
wakuu naombeni msaada maana kwa muda wa wiki nzima sasa computer yangu inanisumbua, nikiwa naichaji cursor inapotea mpaka nitoe charger ndio naweza kuitumia, sasa naomba kujua tatizo linaweza kuwa...
0 Reactions
3 Replies
764 Views
natumiaa simu y huawei u8650...nataka ku upgrade androi virsion yngu maan ipo 2:3:6 apo ifike hta ad 4...... nawezaje msaaada jamaniii
0 Reactions
3 Replies
866 Views
Vipi wadau, mpo kwema !? Naombeni kujua tofauti iliopo kati ya king'amuzi cha startimes kile kinachotumia Dish na kinachotumia Antena. Fununu; 1. Nimesikia bei ya bando ipo tofauti 2. FTA...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kama na wewe ni moja ya watu wanaopenda kudownload softwares na apps nadhan ushawahi kukutana na hili tatizo ambapo unaambiwa ili ufanikiwe kudownload kitu unachotaka lazima ufanye moja ya surveys...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msaada anayejua tatizo la kutosoma laini e7 nokia nikiweka laini mtandao unaonyesha 3g lakin laini haisomi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Wakuu! Naomba kuelekezwa jinsi ya kuset Zuku. Nafahamu kuset Dstv lakini Zuku sijawahi. So naomba kujua frequency za kuikamatia. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza natanguliza salam za dhati kwenu. Natumia samsung galaxy gt 19500, kila ninapojaribu ku download video especially video za movie zina download yote ila wakati kwa kuplay inaplay dakika 5...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wale mliokua mnalilia Satellite internet ya madishi naona waarabu wa Dubai wametuletea hii kitu Kama kuna aliewatumia tunaomba feedback ila vifurushi vyao sijavipenda maana Unlimited zao zimebana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom