Habari yetu Wadau. Desktop yangu imekuta haiwaki kwani nilikuwa safarini kwa miezi 3 sasa narudi kila nikiiwasha yawaka katik monitor yaandika PC kunakuwa na mstari na alama ya + na kwachini ya...
Wana jukwaa hebu angalieni hiyo screenshot hapo, hawa Smile network yao ina speed sijapata kuona. Kwa speed hii, hawapaswi kulaumiwa kwa hizo bei zao. This is amazing, downloading a 2gb torrent in...
Introducing the Ascend
P7 Arsenal Edition
Arsenal fans deserve a smartphone
that reflects the quality of their team.
This is why we have created the
Ascend P7 Arsenal Edition. One of
the...
Nipo Handeni na kwa bahati kuna 3g internet ya tigo,nawapa hongera kwa hili.
Kuanzia wiki iliyopita tunapata tatizo kwani ukiweka modem unaonaon full WMCDA lakini uki konect laptop inaondoka WMCDA...
PPTP & L2TP(IPSEC) VPN Available Now: [ Daily 1 GB Free for this month]
TunnelGuru Free PPTP & L2TP(IPSEC) VPN [ Using Windows/Android/IOS/Linux/Mac Inbuilt Client ]
1. Get a free ID from ->...
Naombeni msaada jamani kuhusiana na application inayoweza kunisaidia kujirushia wi fi kutoka kwenye kompyuta yangu kwenda kwenye simu ya android na computer nyingine,nilikuwa natumia connectfy...
Wakuu yeyote yule mwenye ujuzi wa kuunganisha internet ninayotumia kwenye Laptop ili niweze kuitumia kwenye simu naomba anipe ujuzi huo. Mimi nafahamu kuunganisha internet ya kwenye simu nikatumia...
Wakuu nimesikia hii kitu inawezekana na Downloading speed inakuwa kubwa
lakini kila nikijaribu basi Huwa zote hazifanyi kazi, kwa anayefahamu naomba maelekezo
zaidi.
Microsoft has unveiled Project Adam, its new artificial intelligence that it claims is 50 times faster than comparable state-of-the-art systems deployed by the likes of Google. Adam can look at an...
Katika upande mwingine leo tutaangalia njia rahisi ya kuficha au ku-lock folder ili lisiweze kufikiwa na watumiaji wa kompyuta yako.
Njia hii ni rahisi sana kwani haihitaji kutafuta program ya...
Wadau kama miezi nane iliyopita nimenunua laptop aina ya ACER ASPIRE E1-531 sasa tatizo lake ni aitaki ku install window 8 nimejaribu mara kadha wa kadha kama kwa kutumia USB, DVD na kote inagoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.