Habari zenu wana jukwaa hili pendwa!
Ndugu zangu nina hamu ya kujua au kupata msaada toka kwenu kuhusu haya nimekuwa sina ufahamu nayo juu ya huduma fulanifulani zinazokuja na simu zetu hizi za...
ninasamsung s5 korea version tatizo lake haichange network mode yaan mda wote ni gsm nikitaka kubadili kwenda kwenye
auto haitaki,je tazizo ni nini wanajamwi??????????????????msada tafandhali
Mvumbuzi wa boti isiyotumia nahodha, Emmanuel Bukuku akitoa ufafanuzi wakati wa Maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius...
Wakuu siku za nyuma nilikuwa natumia IDM kudownload video za YOUTUBE lakini siku za
hivi karibuni kila nikijaribu faili linakuwa na ukubwa wa KB.. yaani unaweza kukuta kb800
faili ambalo ukubwa...
Ungejisikiaje kama ungegundua rafiki,mpenzi na hata mke au mumeo ameku save kwa ID gani ktk simu yake! Niko ktk hatua za mwisho kama software developer kuweza kuwapatia wale watakaopenda bidhaa...
habar zenu wana jf?
samahan nina tatizo kuna mtu ame unpin slide zangu za kwny window 8 so kuna baadh zimepotea kama desktop na zingine. mwenye kujua jinsi ya kuzirudisha anielekeze wakuu!
Niliinstall window 7 sasa baada ya siku 30 pc yangu ikaniletea black screen na kuna sms inaniambia window is not genuin. Nikapata hyo application kwa ajili ya activation tatizo linakuja hapa kila...
Nilikuwa nina TV yangu Hitachi flat screen, rangi ya silver, bahati mbaya iliungua maeneo ya power supply kutokana na kuyumba kwa umeme, wakati huo nilikuwa sijaiunganishia umeme kupitia voltage...
Ni latest flagship phone ya hawa jamaa, design yake ni kama iphone by apperance ila nadhan ina advantage kwa sababu kwanza inatumia android the most popular ios na wengi tunaipenda kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.