Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naomba kuuliza ipi keyloger nzuri kuliko zote na wapi naweza pata keyloger for my laptop????
0 Reactions
4 Replies
752 Views
Habari wana jamii forum. Naomba kufahamishwa ni code gani nikiingiza kwenye simu ya Huawei naweza kujua kama ni original au feki.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kukumbwa na majanga mfululizo kwa kweli sasa imekuwa ni balaa tupu, internet imekuwa ya kuunga unga sasa leo nikiwa katikati ya mitaa ya mwanza mjini nimekutana na vijana wamevaa tisheti...
0 Reactions
121 Replies
13K Views
Naeka windows 7 ila kuna error inanipasua kichwa apa.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mwenye kujua mahala pa kushusha ma-series ya ki-korea anijuze. Nakumbuka kuna member aliwahi kupost hiyo link na kama sikosei na software ya kushusha madude haya lakini kwa bahati mbaya...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Wadau wa teknolojia kama yupo anayetumia aina hii ya TV ama mwenye ujuzi nayo anipe darasa kidogo apa. Tv yangu imegoma kuwaka inaonesha taa nyekundu ya "power" ukibonyeza kitufe cha power kwenye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani kwa kawaida video ikishaload inajisave on temporary memory so ukireplay haina haja ya buffering tena. sasa pc yangu ukireplay tu au ukichagua sehenu specific ya kuplay basi inafutika na...
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Jamani kwa kawaida video ikishaload inajisave on temporary memory so ukireplay haina haja ya buffering tena. sasa pc yangu ukireplay tu au ukichagua sehenu specific ya kuplay basi inafutika na...
0 Reactions
0 Replies
952 Views
habari zenu wakuu... msaada jinsi ya ku-update software kwenye Lumia 620 nmetumiwa text ni-update inataka n2mie WiFi ivi hauwezi kutumia data connection? na iyo update ina ukubwa gani?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina tecno p3 ila kwa bahati mbaya kuna mtu alijaribu kuunlock simu ikajilock,nimejaribu kireset kwa kutumia utaratibu wa kawaida wa kuhold button ya kuzima na kuongeza sauti ili nireset but...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
hi, i have many problems with huawey y300-0151, i can´t flashed, i used many sd, im try with some update.app, is root and have install the recovery, but recovery cant install any rom, always said...
0 Reactions
4 Replies
894 Views
habari wana jamvi? naomba procedures za kuweza kutumia line zote katika simu yangu, ila inakubali line ya tigo tu
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Wale watanga tanga wenzangu tusipojua pakushika nimewaletea zawadi japo kiduchu tu.. jaribu key hizi kwa AVG TUNEUP UTILITIES 2014: ​ TMACO-HRNAV-OZGB2-ADQKE-WC2K2-XCY2J
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimae blackberry 10 ya kwanza imeingia sokoni,inaitwa blackberry z10 ni full touchscreen phone without physical keyboard kama iphone,kwa maelezo ya wazoefu wa bb hasa crackberry,inaonekana hii...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
nipo dar
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikicheza fifa kwa miaka minne sasa, lakini sijawahi pata shida kama hii fifa 14, Nimejitutumua mpaka sasa hivi nacheza World Class against computer lakini hawa jamaa ni wagumu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hisense joins the Windows Phone club with Mira 6 26 June, 2014 | Post your comment Tags: Windows Phone, Hisense It seems like a lot of new companies have joined the Windows Phone fray...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Kuna app ya android ya UNEA imekuwa developed na dada wa kitanzania anaitwa esther lugoe. Iko google play anahitaji downloads 20,000 i download na kuirate.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Samahani kama ntakukera ila mi sijui na nahitaji kujua. Nimekuwa nikitumia internet kama kawaida ila kila mara naona thread: mara proxy mara tg. Vina muhimu upi? Nawasilisha
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salam,ndugu zanguni nimeulizia bei ya cm hii kwa midcom east,wameniambia ni 173000..naomben mnishaur kwa yoyote aliewah kutumia au anatumia vip inafaa?kama haifai naomba mnipe muongozo...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Back
Top Bottom