Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Anayetumia TV hii naomba msaada. Tv yangu imegoma kuwaka inaonesha Red power botton tu, ukibofya Remote power botton ili kuwasha; taa nyekundu inatoka na kurudi vile vile. Nimehangaika hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nina simu iPhone Version 4.1 nashindwa kudowloads vitu vingi sababu ya hiyo Version kutokuwa na uwezo huo maana kila nikidowloads i.e whatsApp inaniambia niiupdates to iOS 7. Tatizo lingine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nitumie optmizer gani bomba?? kwa toshiba win 7 ultmat... na key zake itasaidia zaidi.. au kama in crakika!! naamini mabingwa wa humu ndani hakuna popote!!
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Kwa anayejua jiinsi ya kunlock sim kadi kwenye simu aina ya ZTE-G S309 ili iweze kutumia laini zote badaya ya laini moja tuu...............Anyone help please!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau mambo niaje, ebhana jamani mwenzenu nimeingizwa cha kike, nimenunua Galaxy s5 nikadhani original maana njia zote za kutest simu original nilifanya na iyo simu ikakubali ndipo nikainunua kwa...
2 Reactions
72 Replies
8K Views
hivi kuna tofauti yoyote kati ya windows 7 starter, home, proffesional na ultimate? nn tofaut yake, na ipi nzuri zaidi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo kinajieleza vizuri. Original Samsung Galaxy needed; Kwa alienayo Ani Pm tuwasiliane whatsap tufanye biashara fasta. Rangi nyeupe au nyeusi Isiwe na michubuko
0 Reactions
1 Replies
892 Views
Wadau leo mchana nikiwa na laptop kwenye begi kwa bahati mbaya niliigongesha wakati napanda daladala, nimefika home naiwasha inawaka lakini kioo hakitoi mwanga. Msaada wale wataalamu wa hizi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NASA's Chandra X-ray Observatory and the European Space Agency's XMM-Newton spotted an unusual X-ray signal in the data received from the Perseus galaxy cluster some 240 million light years away...
1 Reactions
1 Replies
611 Views
Jamani kuuliza sio ujinga, mimi kwenye jografia sio mkali. sasa naomba kuuliza Ni saa ipi inayotumika kama reference ya saa zingine duniani?? na hiyo saa iko wapi (nchi gani?). naomba kama hata...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari Kwa wakazi au wenyeweji wa Dar . anaejua sehemu sehemu yenye mafundi wazuri wa electronics. Nahitaji kure place screen ya laptop hii imebroke.
0 Reactions
6 Replies
846 Views
U want paid application on Google play for free?? Just download Blackmart alpha app. Don't tell anyone, keep 4 uaself....
0 Reactions
6 Replies
1K Views
mi ni kijana mwenye miaka 21, japo nasomea bachelor in accountiancy nmeona computer ni bonge la dili hapa bongo hasa ukifanya vitu ambavyo wachache wanavijua kama vile penetration testing(ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Usiache kujifunza kitu kipya kila kuitwapo leo. Gartner, Inc. highlighted the top 10 technologies for information security and their implications for security organizations in 2014. Analysts...
0 Reactions
0 Replies
682 Views
msaada wa kuweka manual internet settings kwenye simu yangu blackberry 8520 kwa sasa natumia wi-fi tethering & hotsport.
0 Reactions
0 Replies
623 Views
Habari zenu wakuu, Naomba kwa anaeweza kunitengenezea/kunielekeza mahali husika. Kioo cha ipad kinakua kama kinavujia wino,hii ni baada ya mtoto kuiangusha chini,na sijajua mahali husika pa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nweke wazi hizi cmu za tecno ni bei nafuu na zina uwezo wa kukidhi mengi utayohitaji kama kwenye smartphone za bei ghali, kwa mfano unaweza ukanunua tecno ya kawaida kabisa 150k mfano tecno p5 ila...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Habari wadau, Nina Laptop yangu ya HP ProBook 6550b imevunjika kioo, Naomba kujua kama kuna mtu ana fanya biashara ya uuzaji wa hizi screen ili tufanye biashara.!
0 Reactions
4 Replies
816 Views
Wadau nina external ya 500GB naweza kuitumia kwenye deck kuchk video
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Job closed
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom