Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
habari wana jamvi, nahitaji kununua pc,iwe na vigezo gani ili ikubali window 7 au 8? Natanguliza shukrani
0 Reactions
5 Replies
901 Views
Habarini ndug zangu wa Jamii Forums . Laptop yangu ni Toshiba C660 Inasumbua sana mpak inachosha ni mwez umepita nlipodownload Mozilla firefox latest nkafanya istallation vzr . Muda wa kuitumia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, natumai muu wazima bukheri wa afya. Kama nilivyoorodhesha hapo juu nimekuja kwenu kuomba kujuzwa sehemu nitapoweza kupata short course nilizoziorodhesha hapo kwenye title...
1 Reactions
3 Replies
889 Views
Ndugu zangu nimekuwa nikitumiwa matangazo mengi ya biashara kwenye email yangu kutoka kwa makampuni ya biashara, watu binafsi nisio wajua.Kumbuka sijawah kujiunga nataasisi hizo wawe wananitumia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
naomba mnisaidie wana jf laptop yangu inafungua program zote kwa word pad,please naomba msaada wenu kwa hili.inatumia window 7 home basic
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu yangu ya Samsung gallaxy Picket 6301 baada ya ku download sana mafaili ilianza kuwa nzito. jamaa yangu akanishauri niifanyie restoring ili nianze kuweka upya application,lkn sasa baada ya...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
msaada wakuu nilikuwa natumia window 7 lakini baada ya kupiga window 8 nashindwa kuinstall word
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dar to become 5th wireless internet city in #Africa Dar es Salaam, Tanzania will anytime soon become the fourth city in East Africa to launch zones of free internet services, with the government...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari zenu wana jukwaa, Mwenzenu nina shida, Betri ya Laptop yangu Dell Studio imekufa, hivyo naomba msaada wa mahali ninapoweza kuinunua, kwa sababu nimehangaika kwenye maduka ya Kariakoo...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Bei gani hiyo simu inauzwa?
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Wadau nina omba msaada wa kitaalam,nina miliki simu tajwa hapo juu,lkn cha kushangaza inasoma EDGE tu..mwanzo nilifikiri ni sababu ya eneo nililopo lkn niliposafiri ktk mikoa mingine hali ilikuwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani eti internal hard disc dukani unapate kwa shilingi ngapi?? :high5:
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Habari zenu ndugu, leo nimewaletea Final version ya 6.19 ya Internet Download Manager ambayo utaidownload hapa Baada ya kudownload utaextract .zip file ya IDM ambayo utaiextract kwa WinRar/7-zip...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi,poleni na kazi. Nimebook tablet aina ya AJO Jumbo 11 tablet katika kampuni ya kaymu, naomba msaada wa specification za tab hiyo kama yupo anaeijua,pia usalama wa pesa yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau, sTRAIGHT to the point... Tigo kuna loop hole ya free internet... Piga *148*00# >> chagua vifurushi vya internet 5 >> chagua Smart PACK 2>> THEN chagua ANDROID 2..then accept...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
habar jf,simu yang imedondoka jana na ikapasuka touch,gharama ya lumia 620 touchscreen ni bei gan kwa hapa dar,nimeuliza coz si mzoefu ktk tech. ahsante
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Turing Test Bested, Robot Overlords Creep Closer to Assuming ControlIn a landmark moment for artificial intelligence, a computer has for the first time passed the Turing Test, a question posed...
1 Reactions
1 Replies
847 Views
How Steve Jobs Helped Build the World Wide Web...
0 Reactions
0 Replies
605 Views
Nahitaji housing ya compaq presario c500 mwenye nayo tuwasiliane 0716488632
0 Reactions
1 Replies
505 Views
Back
Top Bottom