Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Computer yangu imegoma kuunga wireles,natumia window 8 na nimejaribu njia nyingi za kutatua tatizo hili lakin wapi,drive ziko poa kabisa,nimekwenda kwenye setting nika swich on wireless...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Any video converter ni software ambayo inakuwezesha kubadilisha mifumo mbali mbali ya video na audio kwenda katika mifumo mingine.Hii software naipendekeza kwasababu ni rahisi kuitumia na ina...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp wakubwa, leo kama vp ntashare na nyie serial number za Document To Go premium for blackberry. Fanya ku-upgrade ile iliyo installed kwenye simu yako kwenda premium then watakudai serial...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna wimbi la watu wamekua wakipata tatizo kutumia keyboard hizi zenye herufi moja moja hivyo kuwafanya kutaka kurudi zenye keypad za simu za kawaida T9, sasa kwa yoyote mwenye hii shida itabidi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu,nina tatizo la page au site kuwa ni pana zaidi kuliko screen yangu,ujuzi wangu ni mdogo ktk mambo ya komputa,naomba mnisaidie niweze kuweka size ya sites ziwe sawa na screen...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Lengo la tweet hii toka kwa mkurugenzi mtendaji (CEO) wa kampuni ya Apple lilikuwa ni kuonyesha jinsi kampuni inavyotekeleza sera yake ya kurudisha uzalishaji wa bidhaa zake nchini Marekani badala...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndungu wana Jamvi naomba msaada nimejaribu kuingia kwenye hii link http://41.93.31.135:8080/health bila mafanikio, Please mwenye kuwa na maujuzi au kujua ni kinachoendelea atupe maujanja. Asante sana
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naombe msaada, nikianza kutype password computer inajiandika yenyewe, nimeshidwa cha kufanya... naombeni msaada wakuu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ninatoa msaada wa: Ku repair computer Ku recover files ktk computer iliyozima ghafla Kurudisha files zilizofutwa kwenye pc na flash Formating and partitioning Programs zote ,office,antivirus...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kuna rafiki yangu hapa simu yake ni blackberry 9800, akiweka battery sehemu za kubonyezea,na upande wa nyuma zinakuwa za moto sana.Pia battery inaisha kwa haraka sana,je tatizo ni battery imechoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Receiver/decoder yangu haina av za kuunganisha na subwoofer nafanyaje niunge subwoofer with receiver/ decoder
0 Reactions
0 Replies
539 Views
While recent reports have been hinting at rising tension between the US and China , the US government agencies have taken a huge step by approving five Samsung smartphones and tablet PCs for...
0 Reactions
2 Replies
841 Views
While recent reports have been hinting at rising tension between the US and China , the US government agencies have taken a huge step by approving five Samsung smartphones and tablet PCs for...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Habari za wakati huu wadau wa JF. naomba kupata maelekezo ama ufafanuzi kuhusu internet bundles in tanzania... especially for unlimited packs for monthly subscriptions... i have tried tigo...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Thomas Edison's teachers said he was "too stupid to learn anything." He was fired from his first two jobs for being "non-productive." As an inventor, Edison made 1,000 unsuccessful attempts at...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau sasa umefika wa kuachana na kitochi changu ili nipate world cup live kupitia simu. Je ni kimobitel gani naeza pata matangazo live. Naombeni link pia ya mobile phone au laptop ili nikiwa kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
wapendwa ni wapi nitampata fundi au karakana ya mafundi wa vifaa vya umeme hasa upande wa mfumo wa sauti. Walio na uwezo wakuagiza kifaa kama hapa bongo hakitapatikana kwa ajili yakukibadilisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ever wondered why it is so easy to buy goods online and not services? Or do you find it hard to find a reliable and trustworthy professional in your area or one who can perform a job up to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF Niliidownload VerbAce Pro 8 version 2.2.0.0 na kuitumia kwa wiki moja ikiwa ni trial version. Kwangu ilikuwa nzuri sana kwani ilikuwa inanisahisishia katika masomo yangu ya lugha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi all, Does anyone know if the AIR-PWRINJ4 Access Point will power a 1200 series AP ? If this cisco AIR-PWRINJ4 support any 802.af device ? Is there any data sheet available for this AP ?
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Back
Top Bottom