niko tayar kumlipa atakaeweza kunifahamisha how to hack system database mfano system ya wafanyakazi kwenye website au za wanafunzi
contact me 0772656500
pitia hapa
http://haveibeenpwned.com
kama hujaelewa fuata maelezo chini
Internet users have obviously known for some time that hackers pose a serious threat, but we all got a shocking...
Habari wana Jf!!
Nimeona tupate Elimu wote:
Mambo Muhimu Kuhusu Antivirus /Internet
Security
Watumiaji wengi haswa watumiaji wa
tarakishi
( computer/simu ) wanatumia vifaa vyao
hivyo...
Nimenunua tecnop5 nimeweka protector ya diamond ila nikikaa kwny jua inanipa shida mno kuona yan hadi niifumbe na mkono tena hapo ndo itakuwa kidogo afadhal,sasa je tatzo ni screen protector...
Hivi kwa hapa Tanzania tunaweza pata hizi chaneli za Aljazeera sport 1,2,3,4.....10?? Kwa dishi la ukubwa upi?,Risiva ya aina gani?(Uwezo gani) na engo ipi??
MR ARSENAL
Habari zenu ndugu zangu.
Ninajitokeza katika forum hii ya sayansi kuomba msaada kwa wale wote wenye utaalamu na mambo ya Web Hosting. Naombeni mnisaidie ndugu zangu juu ya hilo jambo.
please..mwenye uzoefu au alishatumia hii kitu anaweza akanisaidia mambo haya: quality ya picha, kinafanya kazi kwenye operating system yoyote, ni kwa digital au analogue channels....sijapenda...
Waungwana mwenye uelewa anifahamishe nahitaji simu yenye camera kali kati ya hizi mbili nshatumia sana HTC ONE kwa upande wa Samsung Sina ufahamu nazo zaidi.....nahitaji Smartphone yenye Camera...
Habari wandugu. Kutakua na training ya jinsi ya kutengeneza application za Android kwa siku tano pale Arusha Technical College kuanzia tar 12May 2014. Bei ni 80,000. Kwa reservation tuma sms...
Umbile la Kubuni la iPhone 6
iPhone 6 kwa sasa ndio gumzo la ulimwengu wa simu. Tetesi zimepamba moto juu ya iPhone 6 baada ya karibu kampuni zote kubwa kutangaza simu zao vinara (Flagship...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.