Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana jf ni apps gani ya live tv inayotumia mtandao huu 2g mimi niko kijijini hakuna 3g huku.
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Kuna tetesi kuwa baada ya kuelemewa sana, huenda Airtel ikajitoa kabisa kwenye huduma ya data na Internet hivyo kubaki kwenye voice tu. Spidi ndogo ya mtandao huo kwa sasa, huwezi hata kuattach...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
kwa mahitaji ya compter hadwere and maintainance, domain hosting and registration , website design and development , graphics design and data recovery ...for more info plz visit...
1 Reactions
0 Replies
542 Views
Flash aina hii (kingstone) ni Mbovu sana (Feki) hazidumu na zina matatizo mengi ! Na mostly zinakuwa attacked na virus kirahisi sana ! Zinazoingizwa Tanzania nyingi ni Fake brand !
0 Reactions
30 Replies
6K Views
jamani et inawezekana kuweka usb system ktk dvd player ambayo haina port ya usb? Maana nina dvd hapa lens yake haipatikan na nataka kama inawezekana niweke ivo ila nmehangaika sana ila imegoma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nikidownload k2 playstore inanambia couldn't install on USB storage or SD card au nikipiga picha inasema the SD card does not have enough space,plz release some storage or change the default write...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sony has developed a new technology that pushes tape drives far beyond where they once were, leading to individual tapes with 185 terabytes of storage capacity. Back in 2010, the standing...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habarini Nahitaji kusaidiwa namna ya kufanya update katika pc yangu kwani kuna tatizo limetokea kwenye troubleshooting na kufanya mawasiliano ya internet kutokuinstalika vyema na vilevile baadhi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JE INTERNET YAKO INAJIKATA NA DOWNLOADS HAZIMALIZIKI, JIBU LIPO wengi wetu huwa tunapenda kudownload series, movies, games, software, e.t.c hasa pale nyakati za usiku tunapolala tukitegemea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu nilikuwa naomba kuuliza juu ya bids hasa nikitu gani?? hii kitu nimeiona kwenye bidhaa za kununua online kama eBay utakuta kama ni sim imeandikwa bei yake kwa mtindo huuu buy now $500...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kesho natarajia kufungua account crdb lengo likiwa niweze kununua sofware na unlock code.Vipi mlotangulia kutumia internet banking na paypal sitapata maumivu? Msaada jamani.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
habari wadau! Msaada wadau, nimeangusha simu yangu aina ya iPhone 4S, na imepatwa na tatizo la display! Inavyoonekana vitu vingne vina- function Kama kawaida. Mtu akipiga simu inaita Kama kawaida...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mie ni buheri wa afya njema sijuw nyie wenzangu. Nimekua natafakari sana na kutaka kufahamu ukweli wa hili jambo. Ni nani anaemlipa mwenzie juu ya matangazo yanayorushwa kwenye hivi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa katika pitapita zangu leo kuna mtu kanifungua kitu baada ya kunieleza habari za ushetani mitandaoni na kimoja alichoniambia ni kuwa niache kutumia google chrome maana ukiangalia nembo...
0 Reactions
86 Replies
12K Views
Facebook users should not to fall for a new scam which tricks victims into “self cross-site scripting” by promising access to a tool which will let them hack their friends’ accounts. A post...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
The maintainers of PHP have released two new versions of the scripting language that fix a number of bugs, to protect PHP developers from bugs, including the OpenSSL Heartbleed vulnerability...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
wakuu nilikuwa na uliza ni aina gani ya laptop itafaa kwa kazi ya kutengenezea magari?? nimejaribu kuchungulia kwenye workshop mbili tatu za nje na hata online kama ebay na amazon nimekutana...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nilikuwa na brand new Nokia Lumia, lakini imeharibika button yake ya kuwasha/kuzima iliyoko pembeni kulia, na hii ni ndani ya miezi 6 tu!. Naomba mnijuze wazoefu smart phone ambayo ni durable na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee wa Mujin Bahari Nina hard disk niliitoa kwenye laptop yangu ya zamani nikawa naitumia kama external siku za karibuni ime collapse kabisa ina data muhimu sana sana nahitaji msaada wa namna ya...
0 Reactions
6 Replies
819 Views
Wadau simu yangu imekuwa pasua kichwa. Ina tatizo lifuatalo, kuna muda inapitisha charge, sometimes haipitishi kabisa kwa kutumia same cable. Nshabadili cable kibao lakini tatizo lipo pale pale.je...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom