Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Plz naomba imnisaidie mwenye kuweza Psp yangu imezima ghafla na inakaa standby Yaani ukiiwasha inawaka taa ya kijani tu plz Wakuu naombeni msaada wenu!!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf nackia kuna CD ya kuweza kumuandaa mtoto kujifunza kingereza, akiwa na umri wa miezi 8 na kuendelea, mwenye kujua hili tafadhari naomba msaada wako kuweza kuipata. my Son anamwaka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF, laptop yangu kunapartion nimeona delete kimakosa lengo ilikuwa ni kushirink kasa ikaenda kwenye kudelete. Haikuwa drive C. Sasa laptop ikiwaka inanipa ujumbe juu -Error: No such partition...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wandugu sioni picha zinazopostiwa huyu JF ,natumia galaxy tablet 2 7inch.Naombeni msaada wengine kama kuna apps natakiwa nii download!
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Mzigo kuingia mtaani feb23
0 Reactions
9 Replies
1K Views
GENERAL KNOWLEDGE FOR ALL: HOW TO MAKE SYMBOLS WITH KEYBOARD Alt + 0153..... ™... trademark symbol Alt + 0169.... ©.... copyright symbol Alt + 0174..... ®....registered trademark symbol Alt +...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Kama unataka ku spilt file la movie au video ni software gani unatumia.........thanxxxx
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina simu nokia 6280 .kila nikitaka kupiga picha camera ina ganda na inaandika operation failed ,..tatizo nn?
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Habari zenu wakuu, Nimepata hilo wazo, nakusanya vijana walosoma electric engineering, designing, telecom. Tunakaa kama team tunadesign na kutengeneza simu. Naombeni mawazo yenu wakuu kama hii...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakuu inataka network key sasa hapo ndio neno asanteni
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wadau wa 3D animation( kwa kutumia blender) na graphics kwa ujumla ningependa kushirikiana na aliye tayari kutengeneza short film animation kwa kushaire ideas,lengo ni kujifunza zaidi ,kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
wakuu naombeni mauchanja jinsi ya kuhack acount ya mtu ya facebook natanguliza shukurani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanajamvi wasalaam! Nimekuwa natumia WordPress kutengeneza websites kwa mwaka sasa mpaka sasa hivi nina online projects zipatazo tano, kwa kipindi chote hiki nimekuwa natumia either theme za bure...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuuu nina moderm ya sasa tell ZTE AC8710 EV-DO. Naitaji kui crank ili iingize line zote, msaada
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mimi ni mpenzi wa simu za Nokia na kuna tetesi kwamba Nokia wapo mbioni kutengeneza simu zinazotumia technolojia ya Androids. Is a good news for Nokia users. Mimi binafsi natumia smartphone za...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nimenunua sim ya blackbery curve. Tatizo haiungi internet. Natumia line ya TIGO. Ilikuwa inaunga kama nusu siku natumia whatspa then inakata. Buta now naona imegoma mazima. Msaada wenu...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
wanaJF naomba kusaidiwa kufaham duka au mtu anayeweza kuniuzia OS X 10.5 au mpya zaidi ili niweke kwenye macbook yangu. nimetafuta online lakini napata zinazouzwa tu , na mimi siwezi kununua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kuhusiana na simu yangu ya nokia c3 kila nikifungua program ya game inajizima yenyewe na kujiwasha nilikua naomba kama kuna mwenye ufahamu wowote anisaidie tafadhali
0 Reactions
0 Replies
814 Views
habari za jioni wakuu naomba msaada namna ya kufungua akaunti skype maana nimejaribu ila inashindikana na ninatumia nokia e 63
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Device yangu haina mambo mengi kiivyo ila nashangaa card imejaa n internal memory inajaa. Nmejaribu kubaini wapi data zinakimbilia kijihifadhi nmeshindwa. Msaada wakuu
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom