Huyu ni attendant was msd mbeya akiwaameagizwa na boss wake kupeleka control beads za cd4 machine zikiwa katika halo ya ujoto kama zinavyopokelew na lab quality officer wa mbeya referral...
Habari za muda huu wakuu,nimeshusha pes 2013 toka kat.ph nimekamilisha installation nikitaka ku start game inasema...the dynamic library "rld.dll"" failed to load.... Nikapitia net nikaona...
Wakuu naomba msaada nahitaji kujua kama TECNO D3 ina 3G internet , maana nimejaribu kuipekua sijsona mahali pa kuchagua 3g tafadhari kwa anae3 jua naomba anijuze. asanteni
heri ya mwaka mpya na poleni na kazi za kuerimisha, nilikuwa naitaji ku-copy dvd moja ya bongo movie na computer ina DVD RW, ila nilipo iweka hiyo DVD na kuanza kui-copy kwa program ya shampoo na...
samahani nlikua naulizia nimeona sehem wanauza Android 3G tablet phone na nlikua naulizia kama kuna mtu anaweza kunihabarisha ndo inakuaje mana natamani kununua na bei ni 180.Ntashkuru...
Jamani naomba msaada nilijailbreak kama miaka 2 iliyopita ikiwa na iOS 6.0.1 nikawa naweza install various paid application but last year mwezi wa 12 nikona ngoja niiupdatw software kwenda ios 7...
Wakuu habari. Naomba msaada juu ya ulaji wa mafuta kwa model mbali mbali za Prado kama nilivyoziorodhesha hapo juu. Nimeangalia kwenye mtandao magari mengi ya diesel ni KZJ. Mimi si mtaalam wa...
Please any one with adobe acrobat x1 pro serial, patch or crack. I downloaded patch but it need ZIP password and prompt me to complete survey to get password. But when i tried to follow survey...
habarini,
mara nyingi natumia mtandao wa sasatel kwa ajili ya internet, lakini kwa siku kama nne nashindwa kuwa connected.
Kuna mwingine anapata tatizo hilo au ni mie nakosea mahali...
Wakuu nina kifaa ambacho kinatakiwa kuwa kwenye net muda wote. Kwa bahati mbaya ninapata net toka sasatel. Ninapokuwa nyumbani huwa nina-share na Laptop yangu ambayo huwa naiungunganisha na hicho...
Wakuu natanguliza shukrani, ila naomba Mungu atupe afya na umri mrefu tuzidi kuona maendeleo ya technology miaka inavozidi kuenda.
Nirudi katika lengo wakuu nataka kujua inawezekana kweli kupitia...
kwa anayefahamu program ya kufanya download ya ios i resume pale ilipoishia maana ukubwa wake ni 1gb ukianza kudownload kupitia itunes net ikikatika hata kam imefikia 899mb ikianza inaanza na moja...
Katika Sony Tv inayopatikana katika visimbuzi vya dstv kuna Tv show inaitwa Trisha. Miongoni mwa yanayojadiliwa katika kipindi hicho ni hasa mambo yahusuyo familia kama vile watu kusingiziwa...
Kuna siku niliwahi kusikia jamaa mmoja akimwambia mwenzake, ili kuwa na TV anunue monotor na kifaa kinachoitwa TV boksi ili kuangalia TV kwa urahisi (bila ya kununa TV set), je ni kweli...
Kwa anayefahamu, hasa wanaofanya kazi kwenye sekta ya mawasiliano naomba kujuzwa kuhusu hili:
Hizi namba special mfano 15542, 15656 n.k zinasajiliwa kwa watu binafsi pia na matumizi yake ni sms...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.