Wadau kuna hii wapsite ya ZinkWapHD.com - Search And Free Download Hd, HQ, Mp4, Flv Videos Free Download Inakupa Movies, music videos na video zinginezo kwa njia rahisi kwa maana hauhitaji...
Wakuu za jioni
Nilinunua Huawei Hi-Link modem zile zenye web UI sasa mm nilikuwa sitaki iingilie kwenye browser bali ni dial kwa kutumia dashboard ikanibidi ku-install ile Mobile partner ya...
Habari wadau wa Technology....
Mpaka sasa mwenzenu sijapata usingizi sababu ya kutafuta pictures nilizodelete kwa bahati mbaya katika simu aina ya blackberry Z10.
Nikitafuta kwa kutumia Usb...
Wakuu eehh,nipo ktk mchakato wa kununua usafiri fulani hv huo niliutaja hapo juu ktk tittle. Nataka kufanyia biashara ya kubebea watoto wa shule hasa chekechea.Naombeni mniambie uzuri na ubaya wa...
wakuu nimepata iphone4 second hand sasa kuactivate inataka niwe na email na password za mmiliki wa mwanzo sababu alijiunga icloud na ile security system yao, mi mmiliki simjui wala sijawahi...
''' <summary>
''' This is the friend class which used to manage daomain login.
''' </summary>
''' <remarks></remarks>
Friend Class LoginManager
Friend Shared Function...
.wakuu ni wiki ya nne sasa tangu nianze kuulizia jinsi ya kununua simu kwa "ebay" yaani online kwa ku bid lakini sijapata msaada wa mtu kunielekeza cha kufanya please wanajamii wenzangu kama...
Ni majuzi juzi tu nlianzisha thread kwamba inabidi tanzania tujiupgade kwenye techs kwa njia ya kuhack, well nkapost topic inayohusu site ndogo tu nliyohack hata sekunde kumi hazijapita thread...
Hi members
Nimeletewa Zawadi ya tv yenye model hiyo hapo juu kutoka USA lakini nikowasha ina andika all programs locked press OK to enter your password naombeni msaada wana jf.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.