Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ndugu wanajukwaa kwa mwenye Key za program ya toshiba driver detective naomba ani2mie,ninaihitaji ili niweze kuitumia hii program kuinstall wireless Driver​ kwenye toshiba satelite C850-F01N
0 Reactions
4 Replies
775 Views
vina channel 50 na malipo yake kwa mwezi 12500/= ila kwa channel za bongo ITV haipo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waku heshima iwe kwenu tafadhali naomba mwongozo kwa anayefahamu wapi nitakapoweza kupata screen ya samsung galaxy note 2 na kinauzwaje tafadhali naomba msaada wenu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomben msaada wa namna ya ku unpin blackbery curve 9320..natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
665 Views
Ninatumia camera ya simu "BB 9380" kwa kuweka kumbu kumbu zangu,tatizo picha nyingi hazifunguki.Ninatumia memory card ya GB 2 na nimei scan mara kadha lakini tatizo lipo palepale. Ninawezaje ku...
0 Reactions
1 Replies
986 Views
Imevunjika screen lakini inawaka vizuri haina tatizo lengine. specification zake ni Intel centrino 2.0ghz 160gb hard disk 2gb ram Combo drive wifi built in moderm 14'1 LCD screen 3 hrs batry...
0 Reactions
0 Replies
854 Views
Hii ni collection ya tweaks n tricks za computer, haya sasa kazi kwenu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ipi simu nzuri kwa maaana ya ubora na battery life kati ya izo nataka kununua mojawapo!
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu! Hivi inawezekana kudesign normal websites using html,css, and php then niweze pia kuendelea kubadili muonekano wake kwa kutumia wordpress? Yaani mfano niweze kuweka header, footer, menu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Updates =============================<<<===<<<<<<<<<<<<<<======================================= jaman nashndwa ku attach screenshot but net imo poa so akina tomaso nimewawakulisha vema anzen...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
naomba msaada wa site ya kudownload series pack na movies ila isiwe torrent.. thanks
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Uhalifu huu wa internet unafanywa kwa mtu/ kampuni /taasisi kutumiwa email yenye software hataria mbapo wakati email inasomwa software inarun underground na kufungia mafaili yako yote. Kisha...
0 Reactions
3 Replies
898 Views
Hi all, Nimefanikiwa kufollow instructions na nimeweza kuroot my s3 sasa how to upgrade my software to 4.3 maana sasa iko 4.1??? also i could use some advice kuhusu benefit zingine ninazoweza...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua kuna wataalamu wengi sana hapa wa PD proxy....Ila kumbe kujua mengi si kujua kila kitu..... I have a simple trick it works like Charm... unfortunately sita mwaga hapa wala kwa PM so don't...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Im just in love with this new JF's new User Interface(UI) kwa sisi wa Android, pamoja na added features, ziko very cool. Maoni yenu yakoje members? Shukrani na pongezi kwa developers
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Google Compute Engine: https://cloud.google.com/products/compute-engine/?utm_source=email&utm_medium=email&utm_campaign=decnewsletter
0 Reactions
0 Replies
860 Views
FBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator LightFBI Can Spy Through Your Webcam WITHOUT Turning On Indicator Light Many have suspected it, but now it has been officially revealed...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wote mahiri na wajuzi!nimesahu Password yangu-katika blackberry I'd,ambayo naingiza username kama kawaida-ila password inagoma,nimejaribu kuomba msaada blackberry,lakin tatizo...
0 Reactions
0 Replies
914 Views
mwenye link au mwenye nayo naomba anipatie jamani, window yangu inaleta ujumbe kuwa its not guinine, so i just want to remove it ( kuifanya iwe genuine) shukrani sana
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Back
Top Bottom