Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
compaq presario cq57
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Salam wakuu, kwa kifupi natafuta a cheap tablet ambayo ni used/mint cond. or hata kama mpya. Iwe ni android os, my budget is less or equal to 300k. Asante!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
nime upgrade android os v4.0.4 (Ice Cream Sandwich), to v4.1 (Jelly Bean) Chipset Exynos. Bt camera imekuwa hovyo. Mwingne cm yake haikuwaka kabisa Nimekosea wap? Na je kuna uwezekano wa...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Naombeni msaada wa matumizi ya version mpya ya JF kwenye iPad. kwani nashindwa kupost topic zangu.:israel:
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Nina cm ya huawei android jelly bean 4.2.1 ila inakata sana mawimbi unaweza kuongea na mtu ye unamsikia lakin yeye hakupati hebu mwagikeni wadau...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani naomba kujua kisimbuzi cha azam tv kina channel ngapi za bure? ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimeamua namI niingie katika ulimwengu mpya wa kupata d**v, Aljazeera sports ili name nifaidi maisha. Humu jamvini kuna products kadhaa za receivers ninazoweza kutumia ili...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Jaman wataalamu watusaidie hapa Star tv kupitia frequency zake za 3884 na Symbol rate 4900 huku MOSHI..SIGNAL IS WEAK...Hatuipati kabisa ni Mwez na zaid sasa...JAMAN TUNAOMBA MSAADA...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
External drive imegoma kusoma kwenye laptop na nimeweka document zangu na vitu vingine kibao.ini transcend 500GB inawaka taa basi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
IBM announced it has patented a new cryptography solution that is aimed at enhancing privacy and security in the cloud. IBM has patented yet another cloud computing innovation, this latest one...
0 Reactions
0 Replies
645 Views
43 63 Google +9 131 IBM announced it has patented a new cryptography solution that is aimed at enhancing privacy and security in the cloud. IBM has patented yet another cloud...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Nimegundua kuwa vlc imekuwa coded kubadili icon na kuwa imevalishwa kofia ya krismas katika msimu huu wa x-mas na mwaka mpya... mfano kwenye about box inaonekana hivi. sasa mi naona hii inaleta...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Linapokuja suala la soko la smartphone nchini Marekani, mara nyingi huwa ni mbio za farasi wawili tu, Apple na Samsung huku makampuni kama HTC na Motorola wakipigania soko kiduchu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Apple CEO Tim Cook sent a year-end memo to all Apple employees this week where he says Apple is working on some big stuff for 2014. 9to5Mac was the first to get its hands on the memo...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Wadau wote wa jukwa hili mtusaidie kuweka hapa nyuzi za muhimu zilizotokea kwenye jukwa hili kwa mwaka 2013. Najua kuna ambazo zipo Sticky ila hizo tumezizoea na zinaboa. Tafadhali tumia uzi huu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
ZA MUDA HUU WAKUBWA... nimejaribu kushea huu ujuzi nilionao japo kidogo nanyi... Style ya beat unaweza iita Trap.. Sorry for the poor sound hope next time nitarekebisha hilo tatizo... NIMEUPLOAD...
0 Reactions
2 Replies
993 Views
Naomba msaada wa kunlock huawei y300 ambayo inatumia line ya tigo tu nataka itumie line zote plz naomba msaada wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wadau jinsi ya kutengeneza windows xp kuwa bootable kwenye flash disk?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naamini kila mtu yupo salama kabisa. Anaetaka Ku-unlock Blackberry iliyokuwa locked kwa mitandao ya ulaya anipigie kwenye 0784262953, tutaongea namna ya kukufungulia.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
msaada wakuu ninaweza kuipata termal compound(Thermal Paste) wapi,je kuna njia ambayo ni rahisi kutumia au mbadala wa thermal compound?naomba msaada wenu
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom