This post intends to show the origins of Nuru, its purpose, what it can be used for, what it should not be used for and the potential future of the programming language.
Background
This language...
Habari mkuu.
Naendelea kujifunza na kuwa Inspired sana na hii kitu AI, Midjourney, kadiri inavyobamba na kuzisogeza kwa karibu tasnia mbalimbali, hapa naweza kuzungumzia tasnia ya picha na...
Logic level:
Logic level ni nini?
Logic level ni kiwango maalumu cha voltage au kiasi maalumu cha voltage signal/ mawimbi ya umeme.
Logic level ndo hupelekea kompyuta au mfumo wowote wa...
Jamani. Nina akaunti twitter. Nimekutumia miaka mingi. Mie sio mtu wa kuandika andika sana. Ila huwa naweza kumjibu mtu. Siku moja maria teshai aliandika kitu mie nikatofautiana nae. Akaniblock...
Wakuu salaam
Kama kawa mishe zinaendaje huko?
Wakuu nani anaweza kutumia function ya VBA vizuri kwenye excel? Katika kujifunza baadhi ya tutorials za Excel Youtube nikakutana na hicho kitu...
Nimekuwa mtembeleaji wa hii forum kubwa kabisa nchini Nigeria kama sio Africa kwa miaka mingi sana sasa
Kinachonishangaza ni kwa nini hawataki kuifanyia mabadiliko ya kimuonekano kama...
Habarini wakuu..
Kuna hilo Jambo ambalo lipo na limetokea Kwa wengi ambapo unajiunga kifurushi aidha Kwa tigopesa au salio unakatwa pesa tigo wanarudisha msg kuwa tayar wamekuunga halafu kumbe...
Kenya kesho wanazindua na kurusha Satellite yao walioipa jina Taifa-1 na ikumbukwe Kenya wana Laptops na desktops zao zinaitwa taifa.
Tanzania haieleweki katika uga wa elimu,katika ukuaji wa...
Nataka kutumia sd card kwenye radio iliyokuja na gari (original) lakini nikiinsert napata mesage kuwa sd card haiko compatible na hiyo radio nataka kujua hizi sd card ziko tofauti tofauti? Mbona...
iPhone XR 128gb clean no problems , True Tone na Face ID . Battery 89% charge full day ni wewe .
Price : 500k
Reasons for sale : upgrade Ila ni simu nzuri Sana
Comes with og usb charge...
Wakuu kwenye mahangaiko ya uwekezaji nkakutana na hii kitu inaitwa 5glife hawa bwana idea yao ni kwamba una invest base station na cycle kwa siku 60 base ya 18k ina rotate 60k kwa 2months Yan siku...
Wakuu habarini.
Majuzi nilinunua Speaker za Logitech 5.1 hizi speaker mwisho zina pins 3 (Nyeusi, Orange na Kijani) hizi Pins zina Size ya pins za PC headphones / EarPhones.
Halafu nikanunua...
Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena...
Habari wakuu,
Nipo ofisini katika kampuni fulani. Ninapitia wakati mgumu sana kwani meza yangu ipo angle mbaya sana. Boss wangu ambaye ni CEO wa kampuni anaona kila kitu nachofanya kwenye PC...
Siku hizi mambo rahisi sana. Si mpaka uanze kutengeneza app from scratch. App karibu zote wahindi wametengeneza na wanaziuza. We chakufanya nunua tu na IT akuwekee sawa. Kutengeneza wanachukua...
Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
habari zenu wakuu Natafuta hiyo routor ya Alcatel Linkhub HH41 inatumia sim card kama kuna mdau Anajua duka linalouza anijuze nimetafuta sana kariakoo na posta hakuna mi nipo Dar-es-salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.