Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available Carrier pia not available
1 Reactions
20 Replies
2K Views
salama wakuu wa kazi? Moja kwa moja kwenye maada, Leo nimekaa zangu majira ya jioni nacheki luninga stesheni ya channel 10. Kulikuwa kuna kipindi cha TEKNO UBUNIFU kama sijakosea. Katika hali...
19 Reactions
50 Replies
3K Views
Naombeni kuijua zaidi Samsung Galaxy A13 yapi madhaifu yake?
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Salaam wanajukwaa. Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu. Nimekuwa naletewa ukurasa huu ufuatao Kila ninapoperuzi Facebook. Tatizo nini?
2 Reactions
8 Replies
587 Views
Habari zenu wakuu, Naombeni ushauri wenu ninunue simu ipi nzuri kati ya "Xiaomi Redmi Note 11" na "Samsung Galaxy A13"?? Bajeti yangu ni Laki 450,000(Tsh) Note:Napenda Camera nzuri pia display...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
wakuu wa jukwaa hili, heshima kwenu. Kama kichwa kilivyo hapo juu, please nahitaji sana kueleweshwa kuhusu hii open bank project ya nmb bank ambapo unaweza kutumia APIs zao walizotoa kwa ajili ya...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
Hawa jamaa naona ni zaidi ya miyeyusho, kwa kipindi kirefu hawataki kubadilika. Na hapa ni jioni tu, ukitaka kuijua speed ya kobe subiri ifike saa mbili usiku.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salama wakuu Ni mwaka wa tano sasa natumia hard disk bila kuibadili, tena yaweza kuwa ni mwaka wa nane maana hata laptop ni hizi za Kariakoo refurbished zimeshatumika ulaya na marekani. Mwaka...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
wataalam line ya halotel haionyeshi hotspot setting kwenye iphone yangu hivyo nashindwa kutumia net kwenye pic kwa wireless wala cable, je nini kifanyike?
1 Reactions
15 Replies
15K Views
Starship ndiyo Roketi yenye nguvu zaidi kuwahi kutengenezwa na imeundwa kutuma wanaanga kwenye Mwezi, Mihiri au kwingineko. Chombo cha anga za juu cha chuma cha pua kilichoundwa na chombo cha...
1 Reactions
10 Replies
885 Views
Wakuu Chief-Mkwawa , Extrovert na wengine Mimi Orketeemi naomba msaada wenu mje hapa mnichagulie sound. na vip bei zake zikiwa used.
2 Reactions
1 Replies
328 Views
Wakuu nahitaji sim kwa ajili ya mtoto bajeti isizidi 200k, anataka hela akanunue mwenyewe ila mimi sitaki kumpa hela. Amesema anataka oppo tu isiwe sim nyingine, sasa nauliza naweza pata oppo kwa...
0 Reactions
10 Replies
550 Views
Wakuu Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+ Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone Anyway binafsi Samsung...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
Wakuu amani iwe kwenu! Nime-stack kidogo. Ninataka kuhamisha contacts zangu zilizo kwenye telegram kuja kwenye simu au kwenye Gmail account yangu. Inafanyika vipi? Nimehangaika pasi na...
0 Reactions
5 Replies
722 Views
Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya...
17 Reactions
78 Replies
4K Views
Wataalamu habari za muda huu? Je kuna VPN ambayo naweza ku connect kwenye puplic.wifi kisha nikaunga outlook mail app nikapokea emails kama kawaida. ahsante
0 Reactions
1 Replies
276 Views
Wasalaam wadau,najua jamvini humu kuna wataalamu wa kila jambo!kwa leo naomba kufahamu kwa kina juu ya engine za magari zenye teknolojia tajwa hapo juu,uzuri na ubaya wake na kama mafundi wetu(tz)...
1 Reactions
37 Replies
14K Views
Kubadili IMEI ya simu ni huduma unayoweza kuifanya kwenye simu ambazo ni rooted na ambazo hazija fanyiwa rooting. Leo nitawaonyesha jinsi ya kubadili IMEI kwenye simu ambazo hazija fanyiwa root...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom