MAANA YA ku-ROOT
ku-ROOT maana yake ni kuweza kupata uwezo au access ya system files zilizopo kwenye simu yako ambazo kwa kawaida zinakuwa zimejificha au kuzuiwa kwa mtumiaji ili asiweze...
Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga...
Habarini wakuu,
Katika pita pita zangu nkakutana na habari ya wingi wa satellite angani lakini nyingi ni za nchi zilizoendelea huku kampuni ya elon musk ya starlink ikiongoza kwa kua na wimbi la...
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui...
Msaada, niko nataka kununua friji ya Hisense, nimepata hawa jamaa wanasema wanakuletea hadi nyumbani.
Sasa sina uzoefu nao na nina hofu nisiletewe kitu ambacho sio original.
Maana nimeulizia...
Prepaid ni hizi huduma zilizozoeleka kama vifurushi hivi tulivyozoea kuvinunua unanunua kwanza ndio unalipia
Post paid unatumia ndio unalipia mnaingia mkataba kabisa.
Mfano Tigo wana post paid...
Wakuu habari za ijumaa ya leo naimani tuko salama humu ndani.
Kama kichwa kinanavyojieleza hapo naomba kama kuna mtaalamu wa solar atupe elimu kidogo, kuhusiana na aina gani za Solar ni orginal...
Kwanza nikushukuru KakaKiiza kwa uzi wako jinsi ya ku quote majina hapa JF. Sasa kuna hili jingine la ku highlight kwa rangi mbalimbali maneno kwenye post ambayo ipo quoted. Hili nalo lipoje wakuu?
Habari.
Hizi picha mbili nimezipiga mimi mwenyewe kwa kutumia hii simu ya infinix zero x pro kwa kutumia camera yake ya 8mp periscope telephoto 5x optical zoom OIS nilikua magomeni Morocco hotel...
Habari wakuu,
Nimeintegrate Mpesa Payment gateway kwenye PHP app. Nimekuwa nikitest C2B single charge scenario kwa almost wiki 3 huku nikiendelea na development bila shida. Sasa kuanzia juzi...
simu yangu ni samsung a71 5g inanigomea kuninstall gbwhatsapp baada ya ku update rom kwenda android 13!msaada jaman kama kuna njia ya kufanya. MSAADA WATAALAMU PLEASE
Salam wakuu,
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo juu. Kuna mahala hapa mjini Dodoma nilienda , katika kupiga story mbili tatu na wana kijiweni, jamaa wakawa wanalalamika kwamba mkoa wa...
Habarini wakuu
Nimewatengenezea MS Excel add-in ambayo inakusaidia kufanya translation, mfano kuna wakati unaweza kuwa na column ambayo ipo na rows nyingi ambazo content zake zipo kwa kiingereza...
Salaam wakuu, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale katika hali ya kuhakikisha kinapatikana chochote kitu.
Turudi kwenye mada,
Umeshawahi kudukuliwa au kusikia mtu amedukuliwa kimtandao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.