Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Mwenye hp printer drivers naomba ,au namna nyepesi ya kuinstall printer hp kwa computer
1 Reactions
3 Replies
595 Views
Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
GBwhatsapp 5.70 V Racaty.com - Upload & Store Files Securely Racaty.com - Upload & Store Files Securely Racaty.com - Upload & Store Files Securely GBWA v5.70-2.17.146 @atnfas_hoak.apk GBWA...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni application au program gani kutengeneza video Kwenye android?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nahitaji tovuti kwa ajili ya kanisa. Mtaalamu mmoja aje pm au awake namba nimcall. Updates Nimepata mtu pm naona ataweza kunifanyia hiyo kazi. Asante.
3 Reactions
4 Replies
376 Views
Wakuu naombeni kunifahamisha jambo hili, Nahitaji kufahamu mwenye kujua application maalumu inayofanya kazi iyo kutrace meseji na miito pia upande wa whatsap kwa uhakika. Narejeesha shukrani kwenu.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habar zenu naomba Kuuliza hivi sumsung A53 kwasasa madukani nishiling ngap dukani
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu naombeni ushauri kwa simu nzuri yenye ram kuanzia 3 lakini bei yake iwe ni 250k lakini isiwe Tecno.
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi, Wataalamu wa blogging na website kuna matatizo haya ya indexing anaeweza kuyasolve yote au mojawapo atoe msaada please these pages are not indexed because of 1. Excluded by no...
0 Reactions
1 Replies
540 Views
Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, hapa tutakutana hapa na kubadilishana mawazo pamoja na kushare maujanja tofauti tofauti katika app hii. Kwanza kabisa wameachia toleo jipya kabisa v6.10...Download...
2 Reactions
395 Replies
61K Views
WhatsApp imesema haitaweza kupunguza au kulegeza masharti yake ya usalama wa faragha ya watumiaji wa mtandao huo hata kama watatakiwa kufanya hivyo katika Muswada wa Sheria ya Usalama Mtandaoni...
2 Reactions
11 Replies
765 Views
Wakuu! Habari zenu Natumaini muwazima wa afya tele Lengo la kuandika hapa ni kupata mchanganuo wa waya ambao huwekwa chini ya ardhi na kuwekwa chuma cha rangi ya dhahabu na chumvi pamoja na mkaa...
3 Reactions
18 Replies
16K Views
App ya Instagram inaweka sehemu mpya ambayo itawezesha watumiaji kurekebisha ujumbe wa DM. Kwa sasa Instagram haina sehemu ya kurekebisha (edit) ujumbe katika sehemu ya DM. Endapo kama ukituma...
0 Reactions
1 Replies
341 Views
Wakuu Nahitaji kununua gaming PC inayoweza kucheza euro truck simulator 2 bila kugandaganda yaani smooth tena kwa high graphic ni nini niangalie na kama unaweza kutoa dokezo la bei inaweza kua...
5 Reactions
13 Replies
828 Views
Drone ni jina linalotumika kuashiria ndege ndogo isiyo rubani ambayo inaweza kufanya kazi mbalimbali kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Drones hutumiwa katika shughuli nyingi kama vile upelelezi...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka nifunge ttcl fibre. Mwenye uzoefu nayo atupe pros and cons.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Nina home theater kampuni ya LG spika ya bass haifanyi kazi ghafla, spika ndogo pekee ndizo zinazofanya kazi. Msaada wa fundi nzuri
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau nisaidieni microsoft word nikipata ata word ya 2007 itakuwa poa sana
0 Reactions
10 Replies
478 Views
Ukifunga booster hii, Huna haja ya kufunga stabilizer tena kwa ajiri ya friji lako au freezer yako. Kutokana na ukweli kwamba stabilizer za kawaida zimekuwa zikishindwa kusaidia mafriji na...
0 Reactions
31 Replies
20K Views
Back
Top Bottom