Wakuu,napenda kuwajuza rasmi kuwa wale wasio tumia vingamuzi vya TING au Star times bali wanatumia dish ni kuwa Clouds TV wameingia kunako satelite rasmi.lakini wako WEtsal 4 kwa receiver ya MPEG...
Habari Wataalamu,
Simu yangu ni ZTE-G S309
IMEI NO:358523039712608
Inatumia laini ya ZANTEL pekee sasa nahitaji msaada wa kuirekebisha itumie laini yoyote.
Natanguliza shukrani kwa...
habari wana jamii!!
Ni muda sana nimekua navutiwa sana na haya maswala ya PROGRAMMING, na natamani sana kujifunza nami niwe programmer!!! kwa sasa nnajua kidogo sana kuhusu programming na juzi...
Kwa wale ambao wanapenda TV series zenye a lot of special effects, you might wanna see Marvel's Agents of S.H.I.E.L.D.
Episode ya kwanza tayari ipo online. Kama una net ya kasi waweza iangalia...
Za usiku wanajamvi....natumia samsung galaxy note 10.1 inanusumbua sana....siku za nyuma nilikuwa nadownload app nyingi play store au ku-update app mbalimbali
, nacheki youtube , naangalia movie...
salaam,
nitawezaje ku-unlock my bb bold 9700.najaribu kutumia njia mbalimbali lakini mpaka sasa bado sijapata njia ya maana na yenye nafuu.
njia nyingi nilizozitumia mwisho zinaitaji mep...
Nimenunua smartphone ya Sony Xperia E dual C1065 hivi karibuni. Tatizo nililo nalo ni kwamba nimeshindwa jinsi ya kujiunga (connection to mobile internet) na internet inayotumia kadi ya simu...
1. wana jf nakuja mbele zenu mnisaidie aina gani ya digital kamera ni nzuri kwa maana ya brand kati ya hizi hapa canon,sony na nikon ambazo nimepata kuzifahamu au nyngine yoyote.
2. Na baada ya...
Wakuu heshima yenu popote mlipo. Binasfi nahitaji msaada wenu ni wapi ntaweza kupata simu ya mkoni model X405 xtouch Sonny, kwa wakazi wa Dar au Mwanza. Kwa dar nimejitahidi kuzunguka kwenye yale...
Ni mgeni kidogo kwenye matumizi ya tablets na smart phones. Nimebahatika kupata moja na nimeona kuwa zipo apps za bure na za kulipia, mfano radio nk. Ninajua humu jamvini kuna wazoefu wa mambo...
wakuu.
Natafuta battery ya dell inspiron Type J1KND na battery ya hp probook 4431.
Naomba msaada wa kuelekezwa wapi naweza pata kwa bei nzuri.
shukrani.
kuomba msaada hasa pale unapobanwa sio ufala.haya watumiaji wa smartphones mpo?shida yangu ni maelekezo ya kuweza kuhamisha data toka ktk phone storage kwenda sd card.nazungumzia apps ambazo...
Nini inaweza kuwa tatizo nina laptop yangu nilikuwa nikitumia moderm ya Airtel kwa kipindi kirefu ila juzi ghafla ile Moderm ikagoma kufanya kufanya kazi kwenye hiyo machine ikinipa Msg ya No...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.