Baada ya kufanyia majaribio kwa mwezi mzima, na kujiridhisha. sasa nimepata njia ya uhakika ya kula bata wa free internet bila ya kulipia kila mwezi.
wireless hii inapatikana karibu maeneo yote...
Habari. naomba msaada wa kujua namba ya simu hii kama ni ya Tanzania au ni matapeli kwan nimkuwa nikipokea sms kuwa huyo mtu ananipenda na anataka kuja Tz kuwekeza biashara na mimi. Nimekuwa...
there is so much information in this video, you must watch if you can afford
http://youtu.be/-JOXUNX66Cs
credits: colfusion (youtube)
ikiwezekana mods iweke sticky
wapendwa naombeni msaada wa kupata chanell za bure, me mpunga umenikatikia. nackia kuna maujanja wapendwa
najua hapa c mahara pake ila naweza pata msaada. tafadhar mwenye unjanja huu anipe tafu.
PC yangu nikiweka Cd nasikia ikizunguka but haiplay wala kuonyesha sign yoyote kama nimeweka Cd, Then hata nikitoa Cd sioni option ya DVD player kwenye PC kama ilivyo kuwa awali...Ni hayo tuu wana...
habari wakuu?natumia huyo mchina hapo juu.sasa nikitaka Kutuma email yenye attachment ya km word ,excell etc.inaniletea options za kuapload Picha na miziki tu.naombeni software inayoweza sahihisha...
5KV SOLAR SYSTEM COST AND POWER DELIVERENCE ESTIMATION
Nataka kuwa na solar system ambayo itaweza kunipa independent power supply (AC) ya kati ya saa 8 hadi 12, natakiwa kuwa na:
Solar...
Simu yangu aina ya Samsung galaxy W i8150 imeformat pics zote na songs na baadhi ya files. Please naomba mwenye kunisaidia kufanya backup au ndo imeshatoka tayari?
wakuu mi nna HTC desire V , sasa huwa kila nikiwa kwenye net na ninapotakiwa ku-sychronous information flan flan hasa kuingia kwenye facebook inazingua na kusema " Please authorize HTC sense to...
wadau za asubuhi,LEO napenda kuzungumzia hii kampun ya simu NOKIA ambpo ni siku chache tu baada ya kampuni hyo kuuzwa ila wametoa simu mpya aina ya 515ambayo kiukweli ni ya gharama sana US158...
Samahanini wakuu, nimenunua kisimu cha nokia kwa mtu{nokia6300}, lakin nikaweka pin code za nokia ila ni badil, lakin inaone zilishwa badilishwa na mwenye simu hazijui. Je ipo njia ya kui restore...
Nimetumia Kaspersky ya 2012 kwa mwaka mmoja. Nafikiria kubadirisha na kutumia Norton sasa maana Kaspersky naona ipo slow sana, hasa pale ninapowasha computer. Any experience with Norton? nisije...
News
BlackBerry pauses global rollout of BBM for Android, iOS citing leak
Kunal Dua, September 22, 2013
The much anticipated release of BlackBerry Messenger (BBM) for Android and iOS hit a...
Nikizima simu kwa mda alafu nikiiwasha inaleta ujumbe huu ``UNFORTUNETLY LOUNCHER HAS STOPPED" naomba msaada wa kujua nini cha kufanya kurekebisha tatizo ili.asanteni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.