Habari waungwana nina blog yangu katika platform ya blogger inahusiana na michezo nahitaji app blog yenyewe hii hapa www.binruwehy.blogspot.com dm iko wazi pia mtengenezaji wangu namuomba awe na...
WhatsApp itaweka mabadiliko ambayo kila mtumiaji alikuwa anatamani kuona sehemu hii mpya inawekwa.
Kwa kawaida WhatsApp haina sehemu ya ku-edit message baada ya kuitumia. Mtu akikosea kuituma...
Waheshimiwa kwa aneyefahamu haya maswala vizuri naomba kujuzwa kati ya hizo programmes tajwa hapo juu ipi ipo vizuri.. kwa upande wa kujiajiri, kuajiriwa, pesa, ipi ipo katika soko kwa sasa na...
This is service is no more available do no bother yourself to comment on this thread
FREE INTERNET TO ALL JF MEMBERS
Requirements
Magic SIM card (without Balance)+USB DONGLE
Open VPN which...
Habari zenu,
Naombeni mnisaidie kutatua hili tatizo la whatsap yangu kila nikijiunga wanasema wameiblock nikajaribu kuingia ukurasa wao wa msaada wakanitumia ujumbe kwamba account yangu...
Naenda moja kwa moja kwenye mada.Nilikuwa ni mhanga wa bondo la internet kuisha haraka sana hadi nikawa nalaumu kuwa mitandao ya simu ni wezi wa kutupwa.Matumizi yangu kwa siku ni ya kawaida sana...
Vp wadau, nani anatumia king'amuzi cha Canal+ kwa mikoa ya Pwani kama Dar, na mengine.. Wiki iliyopita nilikua kigoma nimekuta watu wamefunga hiki king'amuzi wanatazama mechi zote kwa bei nafuu...
Jamani king'amuzi kipya kabisa ambacho baso hakijasajiliwa cha startime huwa kinakuwa na status ipi kati ya hivi
1. Domarnt
2. Invalid
3. Inactive
Msaada wenu wangwana na wajuvi wa mambo haya...
Habari wanajamvi,
Hapo nyuma, niliuliza swali. Hili hapa:
Leo asubuhi nilipata email kutoka Dudumizi, kuwa reservation zimeanza. Nilipiga simu DuHosting, wakaelezea yafuatayo:
Sasa hivi...
Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni...
Kumekua na maneno mengi sana kuhusu hii App haswa baada ya Zari kudai Mama Dangote aliiweka kwa simu yake ili kusoma sms za Zari.
Wema Sepetu naye kashambuliwa na watu waliotumwa na mwanamke...
Habari wanabodi, kuna maswali ningependa niyafahamu kuhusu GPS TRACKERS...
1.Je hizi google maps ili kujua mahali chomba chako kilipo?
2. Je inaweza kusoma maeneo yoyote chombo chako kilipo hata...
Chaja nikichajia simu wala haina shida lakini hali ni tofauti kwa power bank, inapata joto kali nikichajia power bank, zikipita dakika 40 hivi charger inakuwa na joto si mchezo.
Charger yangu...
Habari zenu wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, tablet yangu imezima ghafla tu haiwaki tena. Ni mpya kabisa imetumika kama wiki 2 tu. Ilizima yenyewe ikiwa katika matumizi ya kawaida na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.