Kwa wasoma vitabu, kutokana na sababu mbalimbali, wengi tunatumia zaidi softcopies badala ya hardcopies. Formats za vitabu zilizotawala ni pdf, ePub na Mobi. Mimi binafsi napendelea ePub au mobi...
Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7.
Kwa wiki hii Google imeanza kuweka...
wasaaalamu wakuu,
Naomba kufahamu, nini chanzo cha kupasuka kwa taa ya ndani kwenye jokofu, na baadae kuanza kupiga shoti kwa ndani na pia haiungurumi tena?
Aina ya jokofu: LG(2nd hand)
Naomba...
Habarini!!
Nimesoma bachelor degree in Electrical Engineering pia nina diploma,pia nina leseni class C Electrical installation natafuta kampuni ya kufanya nae kazi ninaomba msaada wa internship au...
Wakuu nipo napambana usiku na mchana kusimamisha project yangu upande mwingine tayari wote lakini nilihitaji iwepo na wallet so kwa mjuzi ambaye anaweza nisaidia learning source ya transactions&...
Site ni mpya nimenunua domain name kutoka godaddy ndo mara ya kwanza naiweka google search console nakutana na huu ujumbe.
Maelekezo ya Youtube nimeyafuatilia lakini hayafanyi kazi naitaji msaada.
Wakuu naomba msaada wa maelekezo ya kuanzisha, blog kutoka blogspot.com,kuifanya iwe searchable to google search engine, vile vile kuunganisha na tangangazo ya google Adsense Kwa wazoefu mnaweza...
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji
Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha...
Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna...
Hii simu iliingia maji tena kidogo tu nikaiwahi na nikafanya vile inavyotakiwa simu ikiingia maji
Lakini toka imeingia maji nikiwasha haiwaki, hadi nikichomeka kwenye chaji itawaka na kuonyesha...
Wakuu naomba kujuzwa ni Program ipi katika Simu ama Laptop itaweza niongoza kutawala mauzo na matumizi katika duka langu lihali hata nisipo kuwepo?
Maana sasa imekuwa taabu,Je wanao miliki maduka...
Wish the mods can sticky this thread....
For budding web developers, here is a place you can show off your techy wizz...
http://www.000webhost.com
http://www.x10hosting.com
Wakuu habari za wakati, nimeona niandike title hapo juu ili kusaidiana na kufundishana namna ya kuzirejesha pen drives with no media au corrupted. Shiriki nasi ujuzi wako wa namna unavyotatua...
Wachina kwenye bidhaa wamesaidia sana ila upande wa usomi kama mfanyabiashara wametumaliza japo itakuwa na ubishi kwa wasiojua.
Sifanyi biashara ya kuuza simu ila nimeliona kwa wanaofanya...
Hakika kama utakuwa huna hufahamu wowote ule wa kipengele cha Cosmology basi hutaweza kuelewa chochote kuhusu concept ya time travel nazungumzia ile theory ya kusafiri katika kipindi fulani cha...
Habari wanajamvi! Nataka kununua receiver ya mediacom na dish ambayo naweza pata local channels na channel zingine za free to air lkn sasa sijui zinauzwa wapi bei yake kwa dar es salaam na...
Apple imeongeza 5G support katika maeneo mbalimbali duniani. Tanzania ni moja kati ya maeneo ambayo sasa watumiaji wa iPhone 12 na kuendelea wanaweza kupata mtandao wa 5G.
Kwa ripoti nyingi...
Kwa nini huduma nyingi za kisasa kama YouTube premium, blue twitter nk hazipatikani Tanzania.
Kwa mfano natumia YouTube premium ila natumia address ya Nigeria hivyo nalipa Naira 1000 kwa mwezi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.