Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wadau me nauliza size gan ya dish unaweza tumia kufunga hii satellite? Vp kuhusu dish la futi sita unaweza set vp kuipata hii satellite? Badr6
0 Reactions
1 Replies
788 Views
hakuna tena kubeba charger hapo simu yenyewe inahjitosheleza japo ni mchina na haitokaa ikanyage bongo simu hii kwa kweli imenifurahisha nikaona nifanye kushare na nyinyi kwa habari za electronics...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hello there! Nime install windows7 kwenye macbook2,1 inafanyakazi fresh but tatizo ninaloliexperinece sasa hivi sauti haitoki je kuna mtu yeyet anaeweza kunipatia soution ya hii ktu tafadhali.:Cry:
0 Reactions
2 Replies
681 Views
Wadau naombeni msaada wenu jinsi ya kutatuwa tatizo la kudownload kwenye android os natumia line airtel lakini kwenye tigo inakubali
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Photocopy mpya kabisa,hutajuta kununua..bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara. Kama unaitaka piga 0767205419 asante sana
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Salam wakuu, Kwa muda wa wiki chache zilizopita nilikua nafatilia articles kadhaa na kuangalia documentaries mbali mbali kuhusu hili swala la conspiracy theories. It has been said kwamba in this...
0 Reactions
9 Replies
950 Views
Habari wana JF. Awali nilikuwa natumia Tecno N3 nikaiuza, then nikanunua Tecno P3, nayo nimeiuza kwavile zote zimeshindwa kukidhi mahitaji yangu kutokana na matumizi yangu hususani kwenye MEMORY...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii ninatumaini muwazima nimefanikiwa kununua Backberry ila kiukweli sijawahi kutumia haswa kwenye upande wa hii wanaita BBM sijui massanger ninaomba msaada wa kujiunga na...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
How a Sea Squirt Could Help You Grow New LimbsBy COLUMN by LEE DYE | ABC News – Sun, Aug 25, 2013 12:38 AM EDT ABC News - How a Sea Squirt Could Help You Grow New Limbs (ABC News)...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
hi, nahitaji flat tv inchi 14 kuendelea , mwenyew nayo aweke mawasiliano,mm nahitaji ya bei rahisi Asante sn
0 Reactions
2 Replies
703 Views
Heshima kwenu wakuu. Kwa mwenye kufahamu, kuna tatizo gani kwenye hizi channels mana mimi natumia Satelite dish ila toka juzi hazionekani. Kuna mwenzangu anatumia star times naye amesema hazioni..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WAPENDWA WANA JF KUNA KUKAGULIWA NA MATENGENEZO YA VIFAA VYA SONY BURE,UTALIPIA VIPURI TU. Offer hii ni kwa vifaa vilivyonunuliwa ndani ya kipindi cha miaka mitano (5) tu. Vifaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba msaada wanaJF mnisaidie najalibu kuinstall Total Video Converter kwenye laptop Samsung: Rating:1.0 Windows Experience Index Processor:Intel(R) Celeron(R) CPU B820 @ 1.7GHz 1.70 GHz Intalled...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau msaada please kwa anayejua application nzuri ya ku-design matangazo, vipeperushi n.k
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna thread iliwahi letwa hapa barazan kuwa waweza kuangalia startimes bila kulipia!!NAOMBA KWA ANAYEJUA HATUA ZA KUPITA HILI NAMI NIWEZE KUANGALIA BURE...!NIMEFIKIA MAAMUZ HAYA BAADA YA...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Natumia simu ya motorola mb860. ila kwa sasa simu hii ina tatizo ktk kutach. kuna wakati inakubali na kuna wakat inagoma. Na ukiandka sms huwa inajicontrol pasipo mimi kutach heruf yeyote. msaada...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
je,hii simu ni nzuri?.nisaidieni kwa kunipa sifa zake.Nahitaji kuinunua.
0 Reactions
2 Replies
979 Views
  • Closed
hawa jamaa wako fast net yao si kawaida, kama unashusha mzigo movie ya mb700 haimalizi 10minutes ila cost zao zimechangamka kwelikweli... kama kuna mtu anajua kuhack kidogo tupate window ya...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Wadau ninapata tabu kweli modem yangu ina disconnect yenyewe tu sijui tatizo ni nini. Msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wasalaam, Jamani naombeni msaada modem yangu ni univesary aina ya HSDPA 7.2Mbps inatatizo la kuji-disconect kila mara.natumia mtandao wa voda.naombeni msaada jinsi ya kutatua tatizo hili.nakosa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom