Salaam wakuu,
Kwa wale fellow gamers, hii website ya www.skidrowgames.net naona imetisha haswaa katika tasnia nzima yakutuwekea pc games nyingi tena ambazo zipo cracked. Aisee hawa jamaa wana...
natumia window 8, dell D620... nikitumia moderm ya tigo na voda zinafanya kazi. lakini moderm ya airtel na ttcl zinagoma! Msaada tafadhari..tatzo laweza kua nn? Na solution ni nn?
Habari wakubwa
Nawaombeni msaada niko na simu aina ya HTC desere S hii simu inanisumbua sana inajizima na kujiwasha wenyewe na inapojiwasha inanipa ujumbe huu:-
"Your phone has just recovered...
Wadau ninatatizo nataka nirushe net (wireless) iliniweze kudownload vitu kwenye mobile phone via WIFI sema tatizo nikitumia njia ya ad hoc nikitaka ku enable internet connection sharing inaniambia...
Nowdays watu wengi sana wanatumia simu zenye android OS, na andoid kuna very funny apps, sasa tunaweza share humu ili atakaependa kudownload afanye hivyo, mfano wa hizo apps ni kama
mirror 4u-...
Natengeneza professional websites, static and dynamic. nafanya domain name registration na web hosting. gharama zangu ni nafuu sana.
Kwa information zaidi nipigie
0758 717754
Wakuu za majukumu,
Nilikuwa cafe si mda nikakuta ka system knakuhesabia mda na mda ulipofika kakata mawasiliano na screen ikaingia screen saver ambayo uwezi kuitoa.
Nikaona basi sio vibaya...
Natumai mu wazima kwa yeyote ambae ana tatizo nampa pole. Huwa nasikia watu wakizifia computer zao kwa kudownload haraka. Unakuta mtu kudownload file la 1GB haoni tatizo. Mambo ni tofauti kwangu...
Hellow JF members. Today am going to teach you how to boost you internet speed to the maximum. I heard so many people suffering for having slow internet in spite of having a large amount of...
msaada wakuu nitawezaje kuongeza speed ya kudownload kwenye computer yangu angalau transfar rate kwenye idm ifikie 1Mbps up to 2Mbps,kwa sasa spidi yake ni ndogo sana hiyo hapo chini........
Nimejifunza fl studio na kiasi flani nimeanza kujua kutengeneza muziki ila tatizo niliyonayo ni demo hivyo siwezi ku save biti,
nimejaribu ku google nakutana na za kulipia,
naomba mwenye link...
Wakuu wa tech nisaidieni kwenye settings za hii simu maana nlikuwa natumia internet bila shida,ila sasa hivi imegoma,nimewasiliana na airtel customer care ila bado.
Wataalamu wa teknolojia nisaidieni. DVD Player yangu siku hizi haisomi flash. Badala ya kudisplay content ya flash inaandika "SMART UPDRADE, READ" halafu inaandika tena "STOP". Ni tatizo gani hili...
Ni hp ambapo mwanzo ilikuwa na window 7 baada ya kuanza kugoma kwa kuandika expired certificate ikawekewa xp. Tatizo likaendelea kwa kugoma kufungua fb na yahoo inaandika hakuna trusted...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.