Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wakuu, Modem yangu ya Airtel MF 190 ZTE inakataa kuconnect kwenye internet.Inasema ''The modem(or other connecting device) is already in use or is not configured properly". Nime...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimedownload gta iv niem insstall na ku i crack, lakini ina tatizo nikicheza baada ya dakika 5 inaanza shake. Nilipo tafuta chanzo via google nikaja gundua kuwa rockstar wametumia hiyo kama njia...
0 Reactions
2 Replies
864 Views
WAkuu naomba msaada jinsi ya kutambua simu tajwa hapo juu
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Kwa muda sasa Mozilla wamekuwa wakifanya jitihada kutoka na operating system yao, mpaka sasa tayari modeli mbili za simu zimeshatoka, ambapo ya kwanza ilikuwa ZTE open ambayo ilianza kupatikana...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Dear wakuu wa jf ! I would like to know if anyone has tried in receving money via MONEY-BOOKERS au PAYPAL ? or Wire-Transfer ? (how is it done?) Plz share your guidance !
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dear JF IT Gurus, Anyone with idea and experience on how to set up an online payment platform in Tanzania. I want to have, say a website where people can register a course and pay for course...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
I was recently requested to write as a guest blogger on one of Kenya's top web design / development company Skyline Design (SKYLINE FILMS AND TV (KENYA) LIMITED - (OFFICIAL) HOME PAGE), i agreed...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habarini wanajamvi, ninatumia macbook pro ambayo ni pre-installed na MAC OS X 10.8 (Mountain Lion) na ninatumia simu kama modem kwa ajili ya kutumia internet. Tatizo ni kwamba, kila napotaka...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Ndugu zangu baada ya kuzichanga sana nimeamua kununua gari double cabin kwa kujiandaa kustaafu. Katika pita pita yangu nimeona gari aina hiyo kutoka uingereza likiuzwa£7,995. Naomba kujua...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Habar JF, ningependa kujua jinsi ya ku configure personal mms settings kwenye lumia 620,natumia mtandao wa airtel,wadau nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
714 Views
* 11% of people are left handed * August has the highest percentage of births * lemon contain more sugar than strawberries * honey is the only natural food which never goes off * in east africa...
0 Reactions
4 Replies
700 Views
Ni Blackbelly curve yangu..!first tyme nilikuwa natumia mtandao wa vodacom kwenye internet!!but now natumia tigo! ila ile 3G YA Vodacom bado inazingua pale juu.aitaki kuja EDGe,Nimejaribu...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Natumai mu wazima kwa yeyote ambae ana tatizo nampa pole. Huwa nasikia watu wakizifia computer zao kwa kudownload haraka. Unakuta mtu kudownload file la 1GB haoni tatizo. Mambo ni tofauti...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
www.securityweek.com/opera-software-hit-infrastructure-attack-malware-signed-stolen-cert
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Ninahitaji kununua dish'Eurostar inch 6' ili kufurahia huduma ya digital bila malipo, je linafaa au kuna aina nyingine nzur zaid? Pia niangalie vitu gan bora kwenye receiver na lnb?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
program hii imeanzishwa na facebook akishirikiana na nokia, samsung, mediatek, ericson, opera na qualcom ni kuhakikisha kwamba theluthi mbili ya watu wasio na internet wanaipata. mipango yao...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
salamu zenu wakuu,nina tatizo naitaj msaada iv ni simu za aina gan zina uwezo wa kuunda wifi na uka i detect na computer au tablet?natanguliza shukran
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu niaje?samahan natatizo katika pc yangu ya Acer...nikiwasha switch power,inawaka mwanga wa blue nakuzima hivyo hivyo,halafu kale kataa kaliko karibu naram ndan yaboard kanawaka nakuzima...
0 Reactions
0 Replies
694 Views
nimekuwa nikifuatilia sana additional features za haya magame mawili kwa muda kidogo ila stil bado naendelea kuamini kwamba pes hana chake mbele ya fifa,hasa ukizingatia ujio wa ps 4 na x box one...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Salam wakuu, laptop yangu juzi ilicorupt ikabd ninunue low-end lap nyingine (toshiba satellite c660-15N). Iko fresh kimtndo, tatizo ni pale napo download HD movies (1080p blueray), ukiwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom