Habari wana jf laptop yangu aina ya toshiba sattelite c850 imegoma keyboard baadhi ya keys sa nahitaji kureplace naulizia wanapoziuza maana sitaki kutumia external keyboards
heshima mbele wakuu.
nilikua najaribu ku restore window iliyokuwepo mwanzoni kwenye DELL D270 kwa kutumia Acer eRecovery Management but restore system kila ikifika kwenye 99% ina stuck kwa mda wa...
Habari waungwana wa JF.
Ningependa kujuzwa kutoka kwa mwenye ujuzi wa hili.
Awali nilikuwa Dodoma na nilikuwa natumia King'amuzi cha StarTimes, sasa nimehamia Ifakara, Kilombero, Morogoro...
Paste this into Notepad and save it as Welcome.vbs
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Welcome to your computer!"
CreateObject("SAPI.SpVoice").Speak"Enjoy!"
When saved press the windows...
Salamu kwenu ndugu wanajamvi,
nina simu black berry z10 nimeletewa na mtu toka nairobi ila ni nyepesi sana nimejaribu google specification zake nkaona camera na internal storage n sawa sawa na ya...
Wadau naomba mnisaidie kwa anaye jua kuhusu software ya Vat Return,Napata tatizo wakati wa kuistall hii software kwa baadhi ya Computer lakini sio zote nyingine zinakubali,nafanya procedure zote...
POLENI NA KAZI ya ku-elimisha jamii, nina USB drive angu ilikuwa na data zangu sasa nikiweka kwenye Computer inakuwa Haionekani. sasa nisadieni je? nifanye nini ilinipate data zangu
Je hii namba 0682 895 839 ni ya mtandao gani Tanzania?
Je mmiliki wake naweza kumjua vipi?
Je watu kama hawa (matapeli) hatua gani huchukuliwa (na kampuni ya simu husika; au TCRA) kama...
Hellow guys..
Owkey tayari nina VPN service kwa iyo naweza ku access this website.
Tatizo langu linakuja pale kwenye kucreate Account kuna Box ya kujaza ZIP/postal code, asa me sijui hata format...
Ninatumia Toshiba Satellite L800. Wakati nainunua ilikuwa inaadjust brightness kwa kuhold FN na F2/F3 keys vizuri tu.
Lakini nilipoi-reformat hai-adjust brightness tena ispokuwa operation nyingine...
natumia sony vaio na os ya window 8takriban kipindi cha miezi tisa nyuma computer yangu ilianza tabia ya kujorestart ghafla mara tu unapoishawa baadae ikaja ikakaa sawa then ikaanza tatizo...
Wadau naombeni msaada mwenye kujua,mtoto wangu alichezea decorder yangu ya DSTV sasa channel zinakatakata, Nimekwenda pale kwenye settings nimekuta inasomeka UHF 46 na Frequency ni...
Habari wana jamvi
nina simu yangu aina ya HTC 7 Morzat ambayo ni window phone
tatizo lililopo ni kuwa siwezi kutumia huduma za
1 M-pesa,tigo pesa,airtel money na easy pesa
2 siwezi kupata...
Hivi mfano unapokuta cm inaitwa samsung galaxy s3 tena samsung galaxy s3 clone AU samsung galaxy s3 mini afu samsung galaxy s3 mini clone tofauti zake ni nini??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.