Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wandugu, wataalamu naomba kujuzwa, unapouziwa 512KbPS ya internet maana yake nini!? Je hii ni spidi unayopaswa kuwa nayo kwa kila mashine uliyonayo kwenye say ofisi au spidi hii inagawanyika kwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu wa JF nina mashine yangu aina HP LASERJET PROFESSIONAL M1130 MFP SERIES ambayo ina print, scanning na copier. Mashine hii ni mpya na niliifanyia installation vizuri tu! Lakini ku print na...
0 Reactions
2 Replies
782 Views
kWA ANAYEJUA NAHITAJI MSAADA WA KUTOA HIKI KIRUSI(?) HUWA TANGAZO LINATOKEA MARA KWA MARA HADI KERO ,MAANDISHI HUSOMEKA ,INFECTION URI:MAL PROCESS C/PROGRAMME FILES..FIREFOX.EXE
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Virus kwa ufupi Ni program kama program nyingine za komputa. Tunaposema program ya komputa inamaanisha kwamba mtaalamu wa kuandika program ametumia ujuzi wake kuandika program inayoweza...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu nipatieni Msaada wa Software na namna ya kuitumia kwa ku recorver data zilizofutwa kwenye SD card.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu nina nokia asha 303 kuna alama hapa juu karibu na bars za network haka kanabadilika mara "E" tatizo nikinunua kifurushi hakikai hata nisipo peruzi nakuta kimeisha kabla ya wakati...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani ipi nzuri na gharama nafuu kutumia ukiwa tanzania?
2 Reactions
26 Replies
4K Views
hii ni device ambayo google wameizindua leo officially ambayo inafanya kazi ya kuplay contenet zako za kwenye laptop,tablet au simu unaziona direct kwenye t.v(flatscreen) yako kwa kupitia google...
3 Reactions
13 Replies
4K Views
Nilikuwa naactivete kwa kupress *21#0754125125# na kukancell ##002# lakin kwa sasa hafanyi kazi ilikuwa inanisaidia kujua nani anapiga pind nipo hewan bt kwa flight mode au nani alipiga pind sipo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Brothers 'n' sisters, Am in need of a WI-fi cracker program
0 Reactions
7 Replies
1K Views
jamani mtu yeyote mwenye idea na bei ya Ipad 4 gb 32 dar es salaam
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habarini wadau naomba msaada jinsi ya kurudisha sauti kwenye baadhi ya chaneli kwenye king'amuzi cha startimes kwa sababu kuna chaneli baaadhi kama itv eatv Muvi tv sisikiii sauti lakini chaneli...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
hellow guys, is it possible to boot my computer directly from my external HDD, my laptops internal drive have collapsed and i have tried to boot all the window files from 8gb flash disk but it...
0 Reactions
2 Replies
795 Views
5 Reasons why choosing Hatua for the Cisco CCNA training 1. Quality Content Hatua Technologies Limited is a Cisco Registered Partner, by being in partnership with Cisco Hatua abide to...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
naomba msaada nikitaka kuchange avatar inaload then inakuwa failed.. naambiwa nireport if problem persist
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Government Procurement & Supplies Agency Wametoa mikataba ya kufanya bisahara na serikali kwa makampuni Haya tu kwa mwaka wa fedha 2013/14 MFI Despec Ms microfast Supplies Store Ltd (ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hallo wataalamu wa jukwaa hili. Nawasalimu wote. Kwa kuwa njia ya usb ni nzuri sana kwa kuunganisha device nyingi kwenye kompyuta, nimenunua usb hub yenye port 4. Lakini ninapoiunganisha kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hey Folks. Ever happen to you that your PC BIOS locked with an unknown password. One of my friend was suffered from this problem recently so I just thought to share it with all you guys too. Its...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuwasha computer (desk top). Nikiwasha monitor inaandika kuwa "AUTO DETECT. IN POWER SAVE MODE. PRESS COMPUTER POWER BUTTON OR ANY KEY ON KEYBOARD OR MOVE MOUSE". Nimefata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
katika uzinduzi wa nexus mpya leo head wa android sundar pichai alitangaza kua playstore imefikisha application million 1 so list inakaa kama hv 1. android 1,000,000+ 2. ios 900,000+ 3. wp...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom