Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hii ni muhimu sana kuijua ndugu zangu, wengi tunatabia ya kukwangua vocha kuweka kwenye simu kisha kutupa ile karatasi... Basi wajanja (waharifu) wameanza kuzitumia na kuingiza watu kwenye...
8 Reactions
30 Replies
4K Views
NDUGU ZANGU KWA WALE TUNAOTUMIA E-MAIL ZA G MAIL TUJIHADHARI.. KUNA MATAPELI ......LEO NIMEKUTANA NA E-MAIL HII KATIKA G-MAIL YANGU.. Gmáil Téam <eseta@insightbb.com> 8:04 AM (13 hours...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wasalaam wakuu nina tablet yangu ya toshiba t100 imekatika waya fulani wa screen touch kwaiyo ina onesha tu ila huwezi fanya chochote kwasababu screen hai sence je ntapata fundi wapi mimi nipo...
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Ni muda nimekaa nikiangalia namna watu kam Chief Mkwawa, The Young Master na wengineo wakiichambua Android OS na sasa naona it is time to give it a shot, mpango wangu ni kuwa na Samsung Galaxy...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
wakuu hiyo simu leo niliizima kuiwasha tu inanida password hali ya kuwa mimi sijaweka.Naombeni msaada wenu wa kui unlock. please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada kwa yoyote anayejua kuconfigure office 2013 outlook... inagoma kwa utaratibu wa kawaida kama office za nyuma ingawa the rest of the application kama word, excel etc ziko poa!!! kama...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Kwa anayeifahamu simu hii naomba msaada,kama tayari zinapatikana tanzania na bei yake pia,inavyoonekana ni kali sana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pigs smart as dogs? Activists pose the question Like Dislike Edit content preferences Done .View gallery...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Nimedownload applications lakini hazionekani kwenye screen. Kwenye file manager zipo.nashindwa kuzitumia.MSAADA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwa walioko daslam, mwenye music , system used/new/2nd hand anauza ani pm.....
0 Reactions
1 Replies
720 Views
Wana jamvi nahitaji site yenye news za uhakika.
0 Reactions
3 Replies
828 Views
Kutokana na usumbufu wa bettry kuishiwa charge mara kwa mara kwa watumiaji wa sumsung galaxy. Naomba kufahamishwa namna ya kuzima enternet ili kunguza matumizi ya battry.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jmn flash yangu aina ya twinMOS imeharbka baada ya kuiwekea partition kwa ku2mia software, sasa nkiweka kwenye computer naandkiwa new driver installed successful and read to use but nktaka kui2mia...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Ndugu wana tech . Je kuna faida gani mtu anapokuwa na Facebook page... mfano mambo ya habari. Je kuna faida yoyote anaipata in terms of money? Thanks
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ni aina gani ya laptop nzuri na inayodumu zaidi.....na bei zake tafadhali
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa keys za candela RMS Version 8
0 Reactions
0 Replies
815 Views
nipo Mbeya mjini:help: mwenye nalo anisaidie
0 Reactions
5 Replies
1K Views
First I have to say that I Officially announce the suspending of Kasuku Media Player. Here are few reasons for a sad decision: Kasuku was made as project to help C++ developers to grow in coding...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wadau mimi nim2miaji wa Nmb mobile kwamuda mrefu na nimekuwa nikihamisha pesa toka kwenye ac yangu kwenda kwnye m pesa. Jana nimehamisha pesa kwenda kwnye lineyangu(m pesa), chaajabu msg haijarudi...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau wa jukwaa hili:Habari zenu? Mimi ninaishi sehemu ambayo umeme unakatikakatika ovyo sana. Kila ukikatika unarudi baada ya dakika ishirini au nusu saa. Tatizo hili linanikera sana maana...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Back
Top Bottom