Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji kuwa updates sana na kila habari inayoletwa humu ndani. Ni kwa jinsi gani naweza ku subscribe na jamiiforum, ili niweze kupata kila habari inayoletwa humu hata kama nikiwa offline, I mean...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu naomben msaada nahc account yangu ya faceboo watu wamei hack kila nikiifungua nikiweka password inaniambia ni old password nikienda kwenye email ku rest p.word na email nikiingza p.word...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Eti jaman kule fb nawezaje kuweka link ya jina la mtu kwa mfano huku naweza kuweka mama lubango je kule inawezekana kama natumia simu?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wanasayansi wa JF, Msaada wenu please! Nataka kufungua studio yangu ya video na photo production. Ninunue vifaa gani kwa kazi hii? Naombeni mnisaidie jamani.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu naombeni mnisaidie hii simu nikandika msg ikazidi na kuwa mbili inaibadilisha na kuwa MMS na ukiituma haiendi tena. Sasa naombeni mnisaidie ndio kawaida ya hizi cm au kuna setup naweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari yenu wadau, Hivi karibuni ninatarajia kununua kidadavuzi mpakato na nimetokea kuipenda hii Hp 650. Nihabarisheni kuhusu ubora/mapungufu yake jamani kabla sijainunua. NB: Nanunua kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF. Ninaomba msaada wa Kaspersky activation code. Nitashukuru kwa kuwa mazingira niliyopo yamelimit. Natanguliza shukrani !
0 Reactions
0 Replies
1K Views
atakaeweza kujailbreak ps 3 yangu,kunielekeza jinsi gani ya kucheza downloaded games step by step au wapi naweza kupata cd za bei rahisi a.k.a za kuchakachua tafadhali naomba anisaidie niko tayari...
0 Reactions
5 Replies
918 Views
wakuu hii kitu p6200 inatumia andoid os 3.2, lakini natamani sana iwe na os 4 + je hii inawezekana kufanya upgrade.?
0 Reactions
0 Replies
556 Views
wakuu nataka kuiroot tecno yang coz app zote nikizidownload zinaingia kwenye internal menory nimedownload link2sd bado n yale yale
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wadau anayeweza kunisaidia key ya hiyo software nitashukuru sana
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Samsung Galaxy Pocket S-GT5300 kama simu zote za Galaxy Series ni simu ambayo iliingizwa hapa nchini kwa mbwembwe zote. Lakini jambo ambalo Samsung, kampuni inayozitengeneza, haikumwambia mteja ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba yoyote mwenye maujanja ya kutatua hilo tatizo..PC yangu nikifungua Youtube na picha inakatb..kuna maujanja yoyote naweza kuchakachua?
0 Reactions
2 Replies
965 Views
nashindwa kufanya chocohote kwenye flash yangu kucopy files hata kuformat pia nashindwa tafadahli mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuondo write protection tafadhali naomba anisaidie
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina laptop yangu aina ya toshiba imekufa keyboad. Kuna batan kama 7 tu ndio zinafanya kazi, kwa sasa natumia externa keyboard but inaniboa coz nahic napoteza maana hals ya laptop yangu. So kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wandugu habari zenu, naitaji msaada keyboards yangu nikiandika inatoa neno na number mfano nikiandika W inakuja W4 mwenye kujua how to fix this tafadhari msaada
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Habar waungwana. Naomba Darasa kuhusuiana na technolojia ya kushare contents from one device to another via dlna.
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Ndugu wana jamvi nina hyo cmu ya motorola nimeletewa lakn haina mahali pa kuweka line jaman yoyote mwenye msaada nn nifanye niweze tumia smartphone hii
0 Reactions
1 Replies
671 Views
duniani kuna mambo mengi, unaweza ukajiuliza kwanini manufacture wakubwa kama NOKIA au BLACKBERRY wanatengeneza simu bila camera? na usipate majibu. ila jibu ni rahisi tu simu zisizo na camera...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu in My long vacation nataka niwe na skills za hii kitu na kwa kuwa kuna wababe wa haya mambo basi mwenye kuwa na Vitabu in soft copy vizuri vinavyo fundisha kwa illustration naomba link au ni...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom